assalam aleykum.
ndugu nakutakia hijjatul mabruur wadhanbin maghfuur INSHALLAH. usitusahau kwa dua. na ningekushauri kwavile ushatia nia ya kwenda Hijja ni vyema ukajiepusha na hii thread kwavile tayari nahisi ishaanza kupotezwa lile lengo lako ulilolikusudia. Allah awe nawe wewe na familia...
nakushukuru kwa kuthibitisha kwamba uislam ni dini iliokamilika kila kona,,,,imeweka mpaka hukumu ya ukitaka kuvaa viatu uvae vipi...ni kwasababu hii ndio maana westerners hawaupendi uislam kwani uislam sio imani tu bali ni the whole life system...apart from that ,sijaona chengine cha kujibu...
kuelimika kuko namna nyingi...mfano ..leo hii basi nishaelimika kwamba unalotaka wewe basi lazima liwe....kwahiyo hili suali sijui kwanini umelileta hapa lijadiliwe ..kwani naona tayari unalazimisha msimamo wako...
moja kati ya silaha inayotegemewa katika debate ni uvumilivu....iwe debate ya siasa,michezo,uchumi,imani ..n.k..
nakubaliana na wewe kwamba katika ukumbi huu wa imani na dini,kuna watu kwa maksudi mazima wanavuka mipaka ya lugha na kuamua kupakoroga...lakini pia bado sidhani kama ni solution...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.