ndugu hata sielewi kwa nini huyu jamii ameleta hili bandiko hapa sababu kaandika kwa maneno yaliokolezwa kwamba huyo kigogo hana vibali ndo maana kakatazwa kwenda nje sasa hata huko ulaya watu wanatoka tu bila vibali? Labda km kuna kitu sijaelewa hapa
Pasco umesema kazuiliwa sababu hana vibali je mtu km hana vibali aruhusiwe tu sababu sheria imetamka? je sheria inasema mtu yuko huru kwenda atakakko bila hata kua na vibali? mbona mi nona ni sahihi kabisa sababu hana vibali atafute ndio aende navyo wamzuie sijui nini tatizo hapa.
ndugu katika utumishi wa uma kuna kamati za nidhamu ambazo zinashughulikkia masual yote ya nidhamu ya watumishi.
hakuna siku mtumishi wa uma atafukuzwa bila kusikilizwa.
lazima aitwe kwenye vikao vikae kamati isikilize wote wawili mwajiri na mwajiriwa
baada ya hapo ndio uamuzi unatolewa kuhusu...
ok ahsante nimekasirika sababu mimi nilichukua loan nikamtumia anunue ardhi yeye anachukua kwa siri kwa nini? alichofanyia hasemi lengo ninini hapa? sikwamba nataka kumpangia na pesa yake hapana ni information tu km kweli kuna future hata information inagomba?
mpaka kaandika majina yote maana...
ahsante.
ndugu acha tu huyu mwanamke tulikua mbali akawa ananituhumu kua hakuna kitu nafanya kuhusu familia ndio nikaamua nibebe loan aone nia niliyonayo kujenga familia imara he nashangaa mauza uza yanaanza
kwenye familia sidhani km nitapata haki sababu ni mwongo halafu vikao sio level ground...
ahsante kwa kuona km kafanya kosa hii ishu nikiipeleka kifamilia sjui km nitapa haki sababu huyu mtu ni mwongo balaa akifika kwenye vikao anaongopa halafu km vile unafiki mwingi hakuna mtu wa kumkomalia kumuambia ukweli nabaki mwenyewe hivyo hajifunzi. hapa nikishindwa kisheria nachapa lapa tu...
Mnamo mwaka jana nilichukua mkopo benki nikamtumia wife anunue kiwanja mkoa ambao tulikubaliana tutaweka makazi ya kudumu. Sisi sote ni wafanyakazi ila tulikua mikoa tofauti kikazi.
Nilijibana wakati nakatwa mkopo mpaka nlipohamia mkoa aliopo yeye ambapo ndipo tuliponunua kiwanja. Mkopo huo...
ratiba inaanza saa kumi na mbili kamili asubuhi ambapo police, wanajeshi na magereza watakua wakikusubiri utoke ndani kwako wakupangie na kukusimamia kufanya usafi hakuna kuchenga
aisee naunga mkono kufanya usaifi lakini si kwa kusimamiwa sijui na polisi ile haki ya kujiamulia mambo yetu wenyewe pasi na kuvunja sheria imeenda wapi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.