Recent content by aaronb

  1. aaronb

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kulaumu na kujitahidi kupingana na ukweli

    Katika maisha jitahd kutofautsha HEARSAY or GOSSIP na officail issues
  2. aaronb

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kulaumu na kujitahidi kupingana na ukweli

    Mtoto hurithi njia na mienendo ya baba yake!! baba akiwa mlevi mtoto nae akija kuwa mlevi dunia huwa haistaajabu husema karithi damu ya baba yake! na baba akiwa mtu wa busara na familia akatokea mtoto ambae c mstarabu dunia hushangaa huyu mtoto karithi kutoka kwa nan maana ile sio damu ya baba...
  3. aaronb

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi kuna mdogo angu yupo elimu sekondari newala-mtwara ana tsd no. Anahitaji kuhamia mkoa wa morogoro.pwan au dar!!!! Aliye tayar ani sms pm
  4. aaronb

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje ili nijitoe ktk mfuko wa bima ya afya

    n mfuko ambao umejaa ukirtimba ndan yake sana hata tu form yao kuijaza wanahitaji watoto na wazaz na sio wategemezi!!!!! sasa swal la msingi n hl kama mtu n mnufaikaji wa mfuko husika na hajaoa wala kuolewa na wazaz wake n wanufaikaji wa mfuko je! hatuon mtu huyu anakatwa hela bure?
  5. aaronb

    JamiiForums Tanzania Story from Tanga..........Jamaaa anunua nyumba yenye thamani ya million 50 kwa sh million5 ...

    mama alishndwa kutumia upeo wake katka kutatua shida yake.... pole sana mama
Back
Top Bottom