Recent content by a20s

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli ukifanya biashara ili ufanikiwe lazima ufanye ushirikina?

    Naomba mmoja ambaye alishafanya yote (alianza bila izo mambo akashawishiwa akajiingiza) atuambie tofauti yake
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli ukifanya biashara ili ufanikiwe lazima ufanye ushirikina?

    Naamini hivyo pia ila jamii kubwa inaamini tofauti
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli ukifanya biashara ili ufanikiwe lazima ufanye ushirikina?

    Naimani mko poa wana JF kama mada ilivyo naomba mchango wenu. Utasikia watu wengi wakisema kwenye siasa na biashara hauwezi kutoboa kama hujaenda kwa wale wazee wataalamu binafsi sina hakika kwenye ili wadau nyie mnaonaje. Naamini humu hayo makundi yote yamo tupeni experience wakuu.
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashauri vyeti vya ndoa viwe na kikomo(expire date)

    Katika ndoa100, labda inaweza kupatikana 1 tena kwa bahat ambayo angalau kidoogo ina challenges ndogondogo. Yaani sio walioshkilia dini, sio wapagani, sio wazee, sio vijana, sio vijijini wala mjini ndoa zimekuwa mateso hadi wengne kuamua kijiua. Ukienda kwa wanaume wanasema sikuizi hamna...
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosea vyote, usikosee mume

    Hasa kwa jack hajafnya fair hata kidogo
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kosea vyote, usikosee mume

    Kama ni kweli nyie ni wanandoa hamfanyi fair coz ni kama mnaanika madhaifu yenu tuyajue tu basi
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela ya mwanamke huliwa na nani?

    Da yani kina dada pasua vichwa kwenye suaka la pesa yake mkali bala
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nini kinakuogopesha kufungua au kufanya biashara?

    Good comment broo!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nini kinakuogopesha kufungua au kufanya biashara?

    Bigup sana
  10. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu biashara ya bidhaa za electronics

    Naomba mwenye uelewa wa hii biashara yaani mfano niko Dodoma nataka nipate wapi naweza kupata mzigo kwa bei nzuri.
  11. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usaliti wenye ulazima

    Kwanza sio sahihi uamuzi ulioufanya wa kutoka na huyo binti but also wwe ni mvumilivu kiwango cha juu kukbali aendelee na mahusiano na familia ya ex wake mana yake bdo pia yupo close na ex wake tarajia kukatkea event ikawahusisha wew na ex wako sjui nni kitaendelae halafu inaonekana ukienda...
  12. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa kuchaguliwa na wazazi na yule wa kuchagua mwenyewe

    Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua asilimia kubwa ya ndoa zinazodumu ni zile ambazo kijana ametaftiwa mke na wazazi wake na yye akaridhia hilo Kijana wa leo haoni kuvunja ndoa kama ni shida maana ukifatilia sana utakuta waliokotana bila kujuana lolote hawa hata kuachana ni kawaida...
  13. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvumilie tu, hayupo aliyekamilika

    Kweli kaka utamkuta mnaishi mbali yaani kuktatana kwa mwaka mara 2 au tatu huyu hata ukiskia amecheat mvumilie tu hujui yaliyomkuta
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvumilie tu, hayupo aliyekamilika

    Ni kweli mkuu kipengele cha kuchagua mwenza ni nyeti sana japo wengi hawakizngatii kwa kuongozwa na mihemko
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvumilie tu, hayupo aliyekamilika

    Natumaini hamjambo wale wagonjwa Mungu awaponye kwa uwezo wake, naandika hapa kwa uchungu jinsi nnavoona ndoa nyingi zinavyoteketea Hususan kwa vijana aged 25 to 40 niseme tu hili nalo ni janga kama majanga mengine Ninaavyoona mimi sababu hasa ni kutokuwa wavumilivu ni kweli kunammbo yanaboa to...
Back
Top Bottom