Duh aibu kubwa kuwa na utetezi dhaifu kiasi hiki! Mbona kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari amerudia kuweka namba ile ile aliyosema amegawa? Shame on kapuya.
Safi sana kamanda Lema. Huyu bwana si tu mnafiki lakini ni msaliti kwani anachukua hongo CCM na kushirikiana na akina JACK ZOKA kukihujumu chama. Zitto ni mzandiki mkubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.