Hapo, kuna mama yake mzazi, kuna Dada yake, kuna mama j, iryn sasa ni yupi kati ya hao, sijui ngoja tuone atakuwa ni nani, hapo, maana mpaka sasa mwanamke aliyefariki ni sanch lakini huyu alikuwa ni rafiki wa biashara tuu,
Duh, kumbe kupika ni ushoga, hakika uko mbali na dunia ya leo, na inaonekana wazazi wako hawajafanikiwa kukulea katika mazingira ya kujitegemea na kujisimamia wewe kama wewe, bado uko na safari ndefu sana ya kujikomboa kifikra ndg, na pia itapendeza kama utamtaka radhi ndg insider kwa kauli yako...
Mkuu, kwa walio kwenye ndoa wanafahamu kadhia tunazokumbana nazo humo ndani hivyo wala siwezi kukushangaa kwa lolote lile, labda nitakushangaa kwakutokuwa makini na simu yako tuu,
Dah, ila mwana uko na matukio mengi sana ya hatari, linatoka hili linakuja lile, sasa hapo sababu ya mama mkwe wako, (pili) kukukàmatisha kwa police ni amehisi kwamba unatembea na binti yake au amepatwa na tatizo gani mpaka kuamua kukufanyia hivyo,
Na hiyo case utamweleza nani ambaye anaweza...
Ndg, usilolijua ni sawa na usiku wa Giza ukiwahujawahi pata changamoto kama hiyo wala huwezi elewa mtu akikwambia hayo mambo, kikubwa omba usikutane nayo, ila ni mambo ambayo yapo kwa asilimia zote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.