Recent content by _nkuwi

  1. _nkuwi

    Dondoo za hatua za kupata hati ya umiliki wa ardhi hapa Tanzania kwa mwaka 2022

    Asante kwa maelezo yako mazuri juu ya hili swala. Nina swali, kama utaweza kunisaidia, au mtu yeyote mwenye uelewa juu ya haya mambo. Je, utaratibu upoje kwenye kubadilisha majina ya mmiliki wa kiwanja kwenye hati?
  2. _nkuwi

    Umewahi ziona hybrid cars hapa bongo? Je, zinastahimili changamoto mbalimbali? Wataalamu karibuni!

    Je, ukiagiza gari hybrid kwa mfano kupitia beforward, wakati wa inspection, wanakagua high voltage battery system?
  3. _nkuwi

    Kufungua kampuni ya utalii

    Na hii ishu ya Tourism Business Licence (TALA), ni kwaajiri ya gari la safari au inalipiwa hata kama hauna gari yako binafsi? Na gharama yake ipoje?
  4. _nkuwi

    Kufungua kampuni ya utalii

    Asante sana kwa maelezo yako. Na je, kwenye swala la accomodation, hizi hotel kuna rates maalumu wanatoa kwa kampuni za utalii zinazowaletea wageni au gharama ni zile zile walizoweka kwenye tovuti zao?
  5. _nkuwi

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kama kweli upo interested na hii vita na unataka kujua zaidi juu ya chanzo chake, angalia hizi documentary mbili kabla ya kuchagua upande wa kuutetea. 1. IMDb: : Ukraine on Fire Ukraine on Fire (2016) - IMDb 2. IMDb: : The Putin Interviews The Putin Interviews (TV Series 2017) - IMDb Zote zipo...
  6. _nkuwi

    Naomba kujua taratibu za kufuata ili kuanzisha kituo kidogo cha matibabu ya meno

    Habari zenu? Ninaomba msaada wenu, hivi ni hatua zipi ninapaswa kuzifuata ili niweze kusajili na kufungua kituo kidogo cha kutoa matibabu ya meno?
Back
Top Bottom