Unaelewa nini kuhusu statecraft Mkuu?
State craft ni zaidi ya Soka , Na other games .
Unaelewa nini kuhusu Rasilimali watu?
Statecraft haihitaji hisia wala mihemko mkuu
Wakuu, jioni ya leo mtanisamehe kwa kuandika uzi mrefu kidogo, lakini naamini utakuwa na manufaa makubwa kwa wale wanaopenda kufuatilia jinsi mifumo ya madaraka (State Machineries) inavyofanya kazi nyuma ya pazia.Mara nyingi tukifikiria kuhusu "Zana za Kuendesha Dola," vichwa vyetu vinakimbilia...
Huu ni uchochezi wa wazi na uchafuzi wa taasisi chini ya mwavuli wa siasa.
Mkuu, una haki ya kutofautiana na CCM au serikali, lakini kutoa shutuma za makosa ya jinai kama "mauaji" kwenye jukwaa la umma bila uthibitisho wa kisheria ni kujitafutia matatizo na Sheria ya Vyombo vya Habari (Media...
Diplomasia na "Mambo Mengine" ya Nchi, Mambo ya Msingi na yenye maslahi makubwa Kitaifa lazima yaendelee haijalishi nini, Tanzania Ni kubwa Kuliko Tundu Lissu Na yeyote Yule ,
Wakati mdau akisubiri hatuma yake, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea na ajenda...
Mtihani wa Kisheria wa "Kitanzi cha Uhaini"
Hapa mtu anacheza na kifo /hukumu ya maisha ila wadau wengi Tunatizama kama Pambano la Joe Frazier Vs Mike Tyson
Nje ya porojo za kisiasa za mitandaoni, uhalisia mchungu wa kisheria unaomkabili mdau kule gerezani ni mzito mno. Chini ya Kifungu cha...
Maisha Bila Mwenyekiti Jukwaani
Wakati Lissu akirejeshwa gerezani kusubiri uamuzi, mzigo mkubwa wa kuendesha chama nje ya mahakama sasa umebaki mikononi mwa viongozi wengine waandamizi na kamati kuu ya CHADEMA.
Mjadala wa JF na Mitandaoni: Ndani ya JF, mijadala imeshika kasi juu ya mustakabali...
Unapokuwa mwanasiasa na wakati huo huo mwanasheria, kuna hatari kubwa ya kuchanganya majukwaa. Mbinu za kisiasa kama kupiga mayowe, kurusha mikono, au kutafuta "public sympathy" (huruma ya umma) zinaweza kufanya kazi vizuri kwenye mikutano ya kampeni, lakini mbele ya majaji watatu kama Jaji...
Upande wa mashtaka (Jamhuri) ulifanikiwa kumkuta Tundu Lissu na kesi ya kujibu mnamo Agosti 21, 2026, baada ya kuwasilisha hoja na ushahidi ulioridhisha jopo la majaji watatu. Chini ya Kifungu cha 248 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, hatua hii haimaanishi mtuhumiwa ana hatia, bali...
Mwisho wa siku, uwasilishaji wa hoja za mwisho za utetezi zilizokamilika wiki hii (Septemba 23–25, 2026) mbele ya jopo la majaji watatu linaloongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru ndio utakaotoa jibu halisi la kisheria. Mahakama itakapotoa hukumu yake, itadhihirisha kama hoja zake zilikuwa "kamba za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.