Kaongea upuuzi wa kujikosha tu.
Rushwa kwa polisi ni lazima na ambazo hizo rushwa humfikia yeye ktk michango ya polisi wanayofanya
Asituletee ujinga wake wa kujidai kupinga rushwa
Hii nchi upigaji unafanywa na hawa viongozi wetu tu, sidhani kama kuna mwananchi wa kumlaumu zaidi ya hawa wajinga wanaoshika madaraka kwa nguvu.
Wao ndiyo wanaosaini mikataba tena kimyakimya kisha Leo haohao wa nakuja kutuambia eti tunaibiwa.
Baadae watakuka kujisifia sisi tunadeal na...
Mkenya hamna kitu anaweza kukusaidia.
Ardhi wameibinafsisha kwa watu wachache tena kisheria sasa wanalalama kutaka kuhamia nchi jirani tena kwa nguvu.
Kuna mkenya mmoja amechukua land pale Arusha akajenga nyumba ya kuishi, jamaa yuko very rude yaani haamini kama kweli ni yeye anamiliki hiyo land
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.