Recent content by 777misigaro

  1. 7

    JamiiForums Tanzania Hofu yangu juu ya Lowassa

  2. 7

    JamiiForums Tanzania Ubunge Kigoma mjini ngoma nzito: Zitto Vs Kabourou Vs Lumenyela

    Hivi mtu aliyekuwa kaimu katibu/katibu/makamu mwenyekiti mtu huyu kutaka kuwa mwenyekiti kuna nongwa hapo?
  3. 7

    JamiiForums Tanzania Ubunge Kigoma mjini ngoma nzito: Zitto Vs Kabourou Vs Lumenyela

    Lazima uzae Dada.
  4. 7

    JamiiForums Tanzania Ubunge Kigoma mjini ngoma nzito: Zitto Vs Kabourou Vs Lumenyela

    Haya mama tumekusikia nenda kaogeshe mtoto.
  5. 7

    JamiiForums Tanzania Ubunge Kigoma mjini ngoma nzito: Zitto Vs Kabourou Vs Lumenyela

    kweli wew 'shosti' huwezi kumlinganisha Zitto na hao vilaza!Kiufupi nadhani hata ktk rank mwenyewe umeanza na Zitto coz u know exactly what's that shit about.
  6. 7

    JamiiForums Tanzania ACT - Tanzania inapambana na vyama vyote Tanzania

    huwez kuwaelewa kwasababu unaona tu BILA kusikia!
  7. 7

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Habibu Mchange

    wew ulikuwa una'mobilize' nn?
  8. 7

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Habibu Mchange

    "wseleqo" ina maana gani mama?
  9. 7

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Habibu Mchange

    kweli kabisa!CHADEMA ndo kuna UADILIFU! teh teh teh teh teh
  10. 7

    JamiiForums Tanzania Kugawa milioni hamsini kila kijiji ndio kuwaondolea wananchi umaskini?

    Nahisi maandaz ya pale Lumumba tayari yalikuwa yameshaanza kumeng'enywa ndo maana akatokwa na 'pumzi' chafu hiyo.Wakati mwingine sijui watu hawa huwa hawajajiandaa wanapaswa waseme nn kwenye hadhara kama ile!?Mtu yupo mbele ya Dunia anashindwa hata kuficha 'ujinga' wake angalau kwa dakika chache...
  11. 7

    JamiiForums Tanzania Wafuasi takribani 1,000 wa CHADEMA Arumeru wahamia ACT-Wazalendo

    ss huwaita 'wasaliti'.
  12. 7

    JamiiForums Tanzania Zitto awajibu CHADEMA juu ya fedha za ziara za ACT- Wazalendo mikoani

    kaka hebu nichambulie hiyo bilioni MOJA inavyotawanywa kwenye nyanja zipi mpaka useme ni lazima iwe hiyo hyo 1bil. Halafu mada yako ina upande,tujadili kwani vyama vingine KABLA havijawa na ruzuku vilitoa wapi fedha kwa ajil ya kampeni kwa mara ya kwanza?Me nafikiri vyama vya siasa vina...
  13. 7

    JamiiForums Tanzania Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

    Acha umbumbumbu wew,Mbowe ni kiongozi wa chama kikuu cha upinzani na ana uzito na umuhimu wa kipekee. Maneno ya Mbowe yanapaswa yachukuliwe kwa uzito wake,kama haujui Mbowe ana Uwezo wa kuchafua sifa ya tz(mnayoiita amani) akitaka,anaweza kuwasha moto ambao kuuzima kwake ni shughuli pevu! Wakati...
  14. 7

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea UKAWA. Je, tutaishia kwa yaliyowakuta Libya na Gadaffi?

    bora kuwa ktk giza ukitafuta nuru kuliko kuwa ktk nuru ya kichina!
  15. 7

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea UKAWA. Je, tutaishia kwa yaliyowakuta Libya na Gadaffi?

    Ni bora tuishi ktk hofu tukijua tunatafuta amani kuliko kuishi ktk amani iliyojaa hofu.
Back
Top Bottom