Recent content by 730435

  1. 7

    PreGE2025 Kwanini hawakamatwi kwenda kulisaidia Jeshi la Polisi baada ya kutenguliwa? Ni mpaka wawe wapinzani?

    Mbona chadema kila siku mkileta kauli za uchochezi hamkamatwi??
  2. 7

    SoC04 Uchaguzi huru na haki huanza na mimi kupiga kura. Kura ni sauti yangu

    Uchaguzi wa Mwaka 2015 Idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ilkua 23,161,440 ,waliojitokeza kupiga kura ni 15,596,110 sawa na 67.34%. Mwaka 2020 idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ilikua 29,754,699 waliojitokeza kupiga kura ni 15,091,950 sawa na 50.72%. Tunaona idadi ya watu wasiopiga kura...
Back
Top Bottom