Muandaaji wa tamasha hufaidika kupitia vinywaji, vyakula na vitu vingine vinavyouzwa ukumbini.
Let's say bia 1 mtaani ni sh 2000. Pale ukumbini itauzwa sh 10000, hivyo muandaaji bia 1 atapata faida mara 5 ya yule anaepata faida mtaani.
Hapo bado vyakula mfano chips kuku mtaani sh 5000, ukumbini...
Since Iran ifanikiwe kudhibiti uvamizi wa nchi 8, yani USA, Israel, Qatar, Jordan, Saudia, Bahrain nk. Huku ikifanikiwa pia kupigana nazo kwa muda wa siku 40 usiku na mchana bila kulalamika kuishiwa silaha. Basi hakuna kitachoitisha tena nchi hiyo yenye nguvu za ajabu ( licha ya vikwazo vya...
Ni vigumu na pia haiwezekani marijali wenye uwezo wa kutembeza bakora kwa wake wanne wapigwe na wavaa pampers wanaowapa makalio wanaume wenzao.
Huyo Netanyahu mwenyewe marinda hana. Yani ni uchochoro mtupu. Ukitest unajikuta umetokea Sinza.
Kumbe una ID mbili tofauti ili uwe una comment mwenyewe na kuji quote mwenyewe 🤣🤣🤣 Ndomana uharo uliopo kwenye ID ya kwanza hautofautiani na uharo wa kwenye ID ya pili.
Nakushauri uwahi mapema ukabadilishe pampers yako kabla ya kuharibu hali ya hewa maskani 🤣🤣🤣.
Nyerere aliwahi kusema kuwa watu wajinga na wapumbavu utawaona kwenye kauli zao haswa pale wanaposhindwa hoja mezani wao hukimbilia kujificha kwenye kichaka cha dini, kabila, jinsia au rangi.
Mada inazungumzia Israel na Marekani tu. Hakuna sehemu iliyotaja kanisa, msikiti wala sinagogi. Sasa...
Zama hizi za ukweli na uwazi uongo wao unaonekana dhahiri kuwa hawawezi vita. Wanachakazwa hata na wavaa misuli Houths ya Yemen hadi Marekani na nchi zingine za West zinaingilia kati kusaidia 🤣🤣🤣
Niaje waungwana
Ikitokea mtu ana Mil 5 keshi, lakini anahitaji bajaji mpya. Akienda katika dula linalouza, au kukopesha bajaji Dar na mdhamini wake. Kisha awambie kuwa ana Mil 5, anaomba bajaji ya mkopo akaanzie kazi, halaf zitazobaki watalipana kwa mkataba wa malipo ya kila siku, hata ikibidi...
Mwisho wa siku, ndio siku gani sasa mbona haitajwi?
Kama kusalimisha uranium ndio lineonekana swala la muhimu kwako, na kwa hao wavaa Pampers wenzako .... Kwanini imeshindwa kutumiwa nguvu ya kuilazimisha Iran isalimishe uranium yake sasa kabla ya makubaliano mengine kufanyika?
Unajua nyie...
Niaje waungwana
Ule msemo wa wahenga wa zamani kwamba kila "kwenye UKWELI, UONGO hujitenga" pembeni, umeanza kufanya Kazi vizuri nchini Israel, ambapo kura za maoni zilizofanywa na raia wa nchi hiyo zinaonesha kwamba Iran ilishinda vita yao kwa 92%.
Hawa waliohusika na mchakato huu wa kura ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.