Recent content by 4really

  1. 4really

    JamiiForums Tanzania Halo Quiz huduma inayokufanya kushinda zawadi nyingi kutoka halotel

    Pia hawa jamaa wanavyofanya sio vizuri kwanini mnamuunganisha mtu kwenye huduma bila yeye kujiunga.. Alafu pia wanatoa maelezo ya kujitoa ya uongo. Pia ukipiga namba hiyo unazidi kuliwa pesa.. Mbaya zaidi hakuna customers care kweli mmesha nichafua TCRA liangalieni hili juu ya hawa halotel
  2. 4really

    JamiiForums Tanzania RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

    nice nice
Back
Top Bottom