Utakuwa umempa sifa zisizostahili kum-categorize Lowassa katika kundi la mapinduzi. EL ni MLAFI si Mwanamapinduzi. Na EL angekuwa mtu wa maarifa unayosema, tangu mwanzo angeheshimu kazi na ofisi aliyepewa na si kuendekeza ulaghai. Hapo Urais ungemfuata yeye na si yeye kuufuata Urais kwa hali na...
Baba yangu hajawahi kuwa Waziri Mkuu na akajiuzulu kwa aibu kutokana na ubadhirifu, Mume wangu hajawahi kuwa Waziri wa Maji na akajisifu kwamba amevuta maji kutoka ziwa Victoria huku akijua fika kwamba ni uongo, na mke wangu hajawahi kushikwa na wivu kiasi kwamba anajua mimi ni Baba wa familia...
LOWASSA ATOSWA NISHANI KWA MARA NYINGINE! APITWA NA MUUZA CHIPSI!
Mwaka 2011 wakati taifa likisherehekea miaka 50 ya Uhuru Rais Jakaya Kikwete aliwatunuku nishani ya Mwenge wa Uhuru Daraja la Pili wanasiasa mbalimbali waliowahi kushika nyadhifa za Uwaziri Mkuu na Makamu Rais wa Jamhuri ya...
Last time I checked, Issa Michuzi alitambulika kama Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi. Kwa order of seniority anaanza Salva Rweyemamu kama Mkurugenzi akifuatia Bi. Premi Kibanga - Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi. Kwenye Kurugenzi hiyo pia kuna mpiga picha wa Rais Freddy Maro. Na kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.