Ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote .Tzs 600,000 = Laki sika
Key Features
20.4 megapixel Exmor R CMOS sensor
50x optical zoom lens (35mm equiv: 24-1200mm)
Optical SteadyShot
3 inch 921k dot LCD screen
Full manual controls
Electronic viewfinder
Full 1080p HD video recording
ISO 80 -...
Panasonic HDC-HS300. 3mos
1920 fullHD.
Inatumea HDD (120GB) ipo katika hali nzuri kabisa na inafanya kazi kama unavyoona katika pictures ipo na external mic, bag,2 batteries na original box .
ipo uk ninaweza kuituma bongo.
Bei ni laki 6.
Ninauza Panasonic camera DMC-GH2 (hacked) hack has a higher bitrate ambayo ni professional video quality. ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote ipo pamoja lens yake14-42 lens +Original box Battery/Charger/cables , bei yake milioni moja laki mbili.
Brand: Panasonic
Model: DMC-GH2...
Nauza digital camcorder mbili kwa pamoja sony DCR-TRV10E na canon MVX3i ziko katika hali nzuri lakina canon ina tatizo la sauti speaker na microphone haifanyi kazi lakini una weza kutumia external microphone itafanya kazi.Bei laki nne na nusu TZS 450000
Bora safari za ndani ziwe nyingi kutatua kero za wananchi kuliko safari za nje ambazo pengine ningi huwa sio lazima kundi la watu kusafiri angalau zipunguzwe kwa kiasi kikubwa sana na iwe yenye umuhimu mkubwa otherwise Balozi anatosha kuiwakilisha nchi.Itaweza kupunguza gharama ambazo zitasaidia...
Wazanzibari wanauthamini Muungano isipokuwa CCM ndio hawauthamini.Wameziba masikio na wamejipofusha macho bila kufikiria kama itakuja kuwadhuru kwa namna moja ama nyengine.Wanajua kama ushindi upo kwa wapinzani kwahivo ikiwa itashindikana kukaa madarakani basi watahakikisha nchi wanaichafua ili...
Zanzibar yamefutwa matokeo vipi atangazwe rais????????
Au achaguliwe Rais waTanganyika tu??? na ZNZ je??
Mkanganyiko huu
Siasa au Democrasia huwa haisomeki kwakweli
Mwenyezi Mungu ndie anayeleta na yeye ndio huondosha na hakuna kitakachokuwa na mwazo kikakosa mwisho kwasababu nguvu za Mwenyezi Mungu ni kubwa kuliko binaadamu hata akitumia Nucklia.Ile siku ya mabadiliko ni yeye Mwenyezi Mungu ndio anaujuzi nao ila chakuomba yawe mabadiliko yenye haki kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.