Naunga mkono hoja ya kuanza kutumia lugha ya kiswahili kujifunzia.sababu kiswahili ni lugha moja wapo inayokuwa kwa kasi duniani,inatubidi sisi kama taifa tuipe nguvu ili watu wengine wavutiwe kujifunza.
Kiswahili...
Asante sana Malcolm Lumumba kwa kuanzisha mada nzuri.pia nawashukuru wadau wote waliochangia.nilikuwa na mambo kadhaa ya kuchangia katika mada hii leo nianze na hili moja. TUBADILISHE MFUMO WA ELIMU KUTOKA PRE-FORM ONE HADI ENGLISH COURSE.pre-form one za...
Kwenye ili suala la elimu,kuna baadhi ya vyuo hapa nchini linakatisha ndoto za wanafunzi wengi ambao wangesaidia taifa Siku usoni.mfano masters ya miaka miwili unasoma kwa miaka 5 ,hii kweli ni haki
kwa anayefahamu sehemu zinazopatikana vikopo vidogo vya plastiki vinavyotumika kuweka karanga na ubuyu wa kuuza rejereja anifahamishe.Nipo Dar na wanauza kwa shilingi ngapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.