Recent content by 3375

  1. 3

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dropshipping

    Dah una muda gani kwenye hii biashara
  2. 3

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dropshipping

    Ni biashara ya kununua bidhaa online kwa supplier wakubwa kama alibaba, Amazon na zingine alafu una panga bei yako mfano umenunua $2 we una weka $8 unauza mteja akininua kupitia kwako supplier anampelekea mpaka alipo kwahiy wewe unakuwa katikati ya mteja na supplier
  3. 3

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dropshipping

    Habarini naomba mtu anae fanya biashara ya drop shipping, naipenda ila nashindwa namna ya kuanza
  4. 3

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

    Nikwel kabsa mkuu kwa ulicho kizungumza kikubwa ni kuwa na ubunifu mkubwa na unao gusa maisha ya kila siku
  5. 3

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

    Vipi kuhusu soko kwa hapa Tanzania kwasababu wengi wanasema kwaya Tanzania soko bdo sio kubwa san
  6. 3

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

    Habari zenu ndugu polen na majukumu mimi niliuw na penda kujua kati ya software developer na Cyber security ipi inaweza kukutengenezea utajiri mkubwa kwa Tanzania hapa
Back
Top Bottom