Recent content by 2jabway

  1. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Unaweza kuedit hapo tujaribu bahati
  2. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hili jukwaa miakq mitatu iliyopita lilikuwa la Moto Sana kupitia hawa watu Nyegere Wakusoma Buddy Koncho Mr Wise Root Mzee wa makorokocho Mtoto wa Inzi na wengineo daa lilikuwa Moto Sana sijui hawa jamaa kwa nini wamelitelekeza hili jukwaa aisee,popote pale mlipo Mungu awape maisha marefu sana...
  3. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata Mimi imenigomea daa
  4. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaa yaani unapoweka stake kwenye mikeka kabla game hazijaanza kuchezwa unakuwa na uhakika wa kula 100%, game zikianza kucheza Sasa kale ka 100% kanaanza kushuka mpaka 1% daaa hatari sana
  5. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kilala kheri mkuu
  6. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sawa ngja niwaze upya kwanza
  7. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inaweza kuwa na mvua ya magori sio
  8. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nawaza kutok hivi leo mwenye ushauri hapo anakaribishwa kabla sijaripuka
  9. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Safi sana nafurahi sana ninapoingia humu naona people's mnaendeleza ushirikiano,naona jukwaa linaanza kurudi enzi za akina Buddy,Wakusoma,Nyegere,Mtoto wa inzi,Koncho na wengineo wengi hakika lilikuwa moto Sana,tuendelee kushirikiana wazee.
  10. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Wanatakiwa kuweka tangazo kuwa unywaji wa soda kupita kiasi ni hatari kwa Afya yako

    Daaa aisee tutafika tumechoka sana kwa Mungu
  11. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mungu akutangulie utoboe mkuu ila kwa dalili hizi naona kabisa utatoboa
  12. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi mnauhakika hii ni Manchester United ya kule England? Au ni ya kule Mbalizi Mbeya
  13. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera mkuu
  14. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahaha sio hasira mkuuu basi tu aisee yaani litimu linakuja kusawazishiwa dakika za lala salama mzee baba
  15. 2jabway

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Leo hatukuwa na bahati kabisa magoli tulokosa hongera zake kwa kipa wao aisee ila lile goli la pili uzembe wa Manula na Wawa
Back
Top Bottom