Jamani saa nyingine tuwe tunatumia akili za kuzaliwa..Mtu kakataa mwenyewe kupewa dhamana then watu wengine mnataka kuandamana ili atolewe..so what..??? ifike mda watu tuache ushabiki wa kisiasa na tufanye mambo yenye manufaa kwa jamii inayotuzunguka..kama kakataa dhamana then mwacheni akae huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.