Ndugu Nape, ni aibu isiyo na kipimo pale mwana-adam anapoamua kutumia msiba kupata cheap political points. Katika waraka wako hapo juu, umeanza vizuri, lakini umeharibu ulipoanza kuingiza maoni yako ya kipropaganda dhidi ya CHADEMA kwa kumtumia marehemu bob Makani. Being a politician doesn't...