Anaesema kwakeshwali tumuangalie sana maana hata maraya wanaojiuza utawasikia wanasema wateja hakuna. Wauza ngada naondiokabisaaa sasa hiyo anaesema kwakeshwali sijui atakuwa anauzanin huyo.
Hiv wew hebniambie kipindi chamiaka mitatu iliyopita nisawa na sasa au unaongeatu. Sikuhiz hatawauza sigala wanalalamika hazitoki sasa jiulize wauzasigala wamepungua au pesa yakununulia hiyosigala imepungua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.