Recent content by 255 Systems

  1. 2

    JamiiForums Tanzania XMass Special

    Arusha tunafika mkuu lakini si kwa bei hiyo,itaongezeka kidogo to cover for transport na living expense za arusha.you can call me for detailed discussion on it.Karibu sana
  2. 2

    JamiiForums Tanzania XMass Special

    nothing of good quality comes cheap mkuu,this is the best offer you can find in the market for such service.
  3. 2

    JamiiForums Tanzania XMass Special

    hiyo bei ni offer ya xmas na mwaka mpya normally huwa juu ya hapo lakini bado ni nafuu sana kwa soko lilivyo
  4. 2

    JamiiForums Tanzania XMass Special

    tunatoa offer kali ya Krismasi na mwaka mpya kwa wakazi wa Dar na mikoa ya jirani kulinda magari yenu dhidi ya jua kali linaloharibu rangi za magari. **** 2 cars parking shade- TZS 2,100,000 **** 3 cars parking shade- TZS 3,000,000 tu. Kazi zetu zina warranty ya miezi 6,ushauri ni bure. Kwa...
  5. 2

    JamiiForums Tanzania XMass Special

    tunatoa offer kali ya Krismasi na mwaka mpya kwa wakazi wa Dar na mikoa ya jirani kulinda magari yenu dhidi ya jua kali linaloharibu rangi za magari. **** 2 cars parking shade- TZS 2,100,000 **** 3 cars parking shade- TZS 3,000,000 tu. Kazi zetu zina warranty ya miezi 6,ushauri ni bure. Kwa...
  6. 2

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua sehemu naweza kupata turubai la kufunika gari

    Habari mkuu,turubai la kufunika gari unamaanisha hiki hapa pichani? Kama ndio,karibu sana 255 Systems tutakusaidia. unaweza ni pm, call 0656 934573 or email at j.masalu@255system.com
  7. 2

    JamiiForums Tanzania Car parking shades

    Asante sana,kampuni ni ya kitanzania na sisi ni watanzania halisi. karibu sana tujenge nchi yetu
  8. 2

    JamiiForums Tanzania Car parking shades

    They last long,and we give 1 year guarantee to fix any faults.
  9. 2

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya wezi

    Mkuu King KOng< bei hiyo ni ya motor, installation charges.tunakupa free service hadi miezi sita baada ya kukufungia (just incase ikikorofisha au ukisahaa operating it) bei ya electrical fence pia ina poa kiasi mkuu kutokana na ukubwa wa kazi yako.Karibu sana
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Car parking shades

    Karibu sana mkuu muda wowote.
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Car parking shades

    Watu binafsi na maofisi hasa kwenye mikoa ya jua kali kama Dar,Morogoro na Dodoma tunzeni magari yenu mnayoyapenda kwa bei nafuu kabisa.Unaweza ni PM,email at j.masalu@255system.com au simu 0656-934573 kwa ajili details zaidi.Bei zetu ni nafuu sana na ushauri ni bure kabisa. GRAND OFFER:single...
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Kinga gari lako dhidi ya jua kali

    Asante sana mkuu<kweli bei zetu ni nafuu sana kulinganisha na makampuni mengine shindani,pia tuna design nyingi tofauti nao pia.Karibu sana
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Kinga gari lako dhidi ya jua kali

    mkuu mlaleo,shades zinafunika magari aina yote ndugu yangu,na pia unaweza tumia sehemu ya shade kama mahali pa kupumzikia au kufanyia shughuli zako nyingine wakati wa jua kali au mvua.
  14. 2

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya wezi

    you are welcome,any time.
  15. 2

    JamiiForums Tanzania Kinga gari lako dhidi ya jua kali

    Prado ni gari ndogo mkuu,kama nilivyoshauri hapo juu,tent ya gari moja haivutii but we do it for 1.8 na ya magari mawili ambayo ni standard tunafanya kwa 2.6 na maelewano yapo ndugu.Karibu sana
Back
Top Bottom