Recent content by 24sela

  1. 2

    Kinana akutana na boda boda wa mkoa wa Mbeya

    huyu jamaa ana moyo mgumu sana. Au ndo kusema anapenda sana chama au an lake jambo? ninachojua kwa mbeya anoasha nyota tu.
  2. 2

    Mwenyekiti CHADEMA Temeke adai alitekwa na mwanaCHADEMA mwenzake, CHADEMA yataka Polisi ichunguze

    Ni rahisi kuzungumza kuliko kutenda. kama majeruhi amemtambua mhusika basi tuone mtuhumiwa anakamatwa na uchunguzi usichukue muda ili haki itendeke. isije ikawa ndo ile ya kutumiana pesa kwa njia ya m-pesa ili kuua chama. mtuhumiwa asipokatwa basi lumumba movie hii itawakosti
  3. 2

    Nape: Lowassa kapoteza sifa ya kugombea

    Nape ni mtoto mdoga sana kwa lowasa hagusi hata chembe ya harufu yake. Jamaa ndo katangaza nia Akiwa mbele ya wadau wote anaowaamini. Nape lawashindwa akina Kawambwa atamuweza Papaaaaaa Mihela> akaoge.
  4. 2

    Dr.Slaa: Tuna nyaraka kutoka Halmashauri Kuu ya CCM ikiagiza polisi kushughulikia vyama vya upinzani

    dr. we wachane, halafu wakuchukue au wakupeleke mahakamani ili utoe walaka huo.
  5. 2

    Absalom Kibanda: Magufuli anasifiwa Tanzania wakati hana lolote

    ni kweli kwani magufuli kinachomuharibu ni overconfidence ambayo inasababishwa na magazeti. Kazi yake ni kukremu urefu wa barabara. aende zake. tunataka aje na mbinu za kuondoa foreni na kupata barabara zenye ubora.
Back
Top Bottom