Recent content by 21 Li

  1. 21 Li

    JamiiForums Tanzania Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

    Sanctuary A Witch Tale
  2. 21 Li

    JamiiForums Tanzania Magari ya umeme kutoka China hatiani kupigwa marufuku Ulaya

    Kweli kabisa Wachina wapo Kila Kona Ruvuma, Mbeya Makaa ya mawe, dhahabu Yani tujitathimini. Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
  3. 21 Li

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: My wife is a Robot

  4. 21 Li

    JamiiForums Tanzania Very real risk’ Russia could ‘lash out’ against wider Europe, defence boss warns

    No Action Talking Only
  5. 21 Li

    JamiiForums Tanzania Tupimane uelewa kwenye wimbo wa Dizasta Vina uitwao SHAHIDI

    Nyimbo hizo zipo kwenye Album ya The Verteller Kwa njia rahisi pitia platform mbalimbali za kusikiliza music online. Boom play na Mdundo.com uhakika zipo utazipata. Hip-hop haitonipa carryover by Dizasta Vina "Wild nose".
  6. 21 Li

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoagiza mchanga au kokoto tunaibiwa aisee kumbe uwa wanapunguza njiani kuna vituo

    Ni hatarii sana hadi Matofali pia wanapunguza njiani na wakifika site wanajifanya wana haraka na kupanga ovyo ili ushindwe kuhesabu. Tuwe makini la sivyo tunawafaidisha wao.
  7. 21 Li

    JamiiForums Tanzania Usimuonee huruma Mwanamke

    Wazo bora kwa siku ya leo Nashukuru sana kwa kuifanya siku ya leo iwe nzuri. Wanawake wa leo ni zaidi ya shetani tusipokuwa makini watatumaliza tusiwaonee huruma kabisaaaa. Wanaume tuandamane kwa hili na ikiwezekana tuwe na semina pamoja na jukwaa letu maalumu kukumbushana jinsi ya kujikinga na...
  8. 21 Li

    JamiiForums Tanzania Tupimane uelewa kwenye wimbo wa Dizasta Vina uitwao SHAHIDI

    T 912 Nilipojua kuwa ni Tanzania independence day Yani 9 December. Dizasta Vina anajua sana na kama unataka kumuelewa zaidi tafuta album yake inayoitwa The Verteller ni [emoji91][emoji91][emoji91]
  9. 21 Li

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Time Travel

    Kazi nzuri Kwa wapenzi wa stori za kusisimua.
Back
Top Bottom