Hizo course siruhusiwi according to TCU guide book 2024/25 Mimi ninaweza kusoma bachelor za afya kwa diploma ni kama ifuatavyo.
1.Anaesthesia.
2.Nutritional.
3.Social work.
4.physiotherapy.
5.Audiology and speech pathology.
6.Occupational therapy.
7.Katibu wa afya.
So course nyingi kwa nurse...
Habari.
Nje na mahubiri na kujihusisha na injili je mchungaji Tonny kapola ana kitu gani kingine cha ziada maishani mwake.
Lifestyle,muonekano wake na maisha yake mfano Gari lake Lile analomilliki zaidi ya million 300.
Na kama tukisema sadaka mbona ni ngumu ku afford kwa sababu asilimia KUBWA...
Nurse ina option course kama.
1.Audiology and speech pathology hii course bado HAINA muundo
2.Occupational therapy HAINA muundo kwa degree.
3Anaesthesia ni course nzuri ila changamoto yake majukumu ni mengi ya kiutendaji.
4.Bachelour of Nursing kiukweli hii course nzuri ukiwa unafundisha au...
Tena hii nataka niipige open japo changamoto yake mshahara wake wa degree ndo mshahara wangu wa diploma kama nasoma labda nisome kwa ajiri ya kuachana na nurse ina makelele mengi sana
Habari wakuu.
Mimi kijana niliyesoma Diploma ya uuguzi na ukunga nashukuru Mungu mwaka huu nimebahatika kuajiriwa rasmi Serikali.
Nilikuwa na lengo la muda mrefu kujiendeleza kimasomo lakini nilikuwa nasubiri kwanza niingie kwa mfumo rasmi..
Wakuu naombeni ushauri wa Mambo yafuatayo.
1.Mbinu...
Ngoja nikueleweshe kitu.
Mchakato wa ajira umeanza mbali hadi kufikia hapa.
Kwenye website ya PSRS kuna sehemu tatu Advertising hapa kuna matangazo ya Ajira na ndipo mtu anaongeza received kama ushawahi kusikia received.
Sehemu ya pili interview hapa kuna usaili wa kuandika lazima upate 50...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.