Hii ni Tanzania ya mfumo wa vyama vingi katika kuionesha dunia tu!! Ila tukiangalia kwa kina ni nchi ya chama kimoja sababu sioni haja ya kuwa na vyama vingi kwa muda huu.!!
Vyama vya upinzani vyote vimejaa dosari ambazo ni hatari kama vingeshika dola.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.