Recent content by 1Opener

  1. 1

    JamiiForums Tanzania Fursa Kwa Tanzania Developers

    Jamaa yangu alieni quote anahaiba yakupenda sifa , negative guy na sio optimistic hata kidogo. Ume declare kushindwa. Hivi unajua gari haijaanza nakuwa fuso. Piesi yakitanzania inawezekana. Zikiwepo timu hata tano na few features mbona hadi hapo watu wataitafuta. Jua sisomi nipo kazini. Kwa...
  2. 1

    JamiiForums Tanzania Fursa Kwa Tanzania Developers

    Kuna hizi fifa na piesi Sijui ambazo watu wanacheza kwenye playstation Football competition video games. Ni very addictive na humfanya mtu kupoteza mda akifurahi. Fanyeni local monopoly tuone simba na Yanga. Mkifanikiwa kutengeneza hizi mtapumzika nakupata kitu cha kujiskia na sisi...
  3. 1

    JamiiForums Tanzania Fursa Kwa Tanzania Developers

    Usiwe na mawazo yakushindwa, Good service inajiuza yenyewe. Sio lazima uwe na followers wengi. Nakupa challenge tengeneza Software itakayo zuia ku duplicate DVD za wasanii, then msaidie bongo movie mmoja kama mfano uone kitakachotokea. Unajua testimony ni njia kubwa ya advertising? Hamsikii...
  4. 1

    JamiiForums Tanzania Fursa Kwa Tanzania Developers

    Okey ila, nasikitika umekua na mawazo yakushindwa. Ungefanga codes mengine achia watu wamarketing coz siofani yako. Ungesema tuwashirikishe walengwa tujue inawafaa au la. Nakama wange respond yes teyari usha andaa watu kisaikolojia na wangekuwa wakwanza ulizia bidha kama ipo teyari...
  5. 1

    JamiiForums Tanzania Developer wakitanzania wananini chakujivunia?

    Nimependa michango yenu. Nishaweka wazo lakwanza mnaloweza fanya kwa manufaa ya nchi yetu.
  6. 1

    JamiiForums Tanzania Fursa Kwa Tanzania Developers

    Niliahidi kutoa mifano ya fursa ambazo Rafiki zangu Developers wanaweza tumia nakuleta impact kwa jamii nahata duniani kiujumla. Fuatilia my previous thread Nilieleza hits muhimu zakujua fursa 1. Solving problem Hapa nikuangalia matatizo ya jamii nakujatatua pia katika njia hii...
  7. 1

    JamiiForums Tanzania Developer wakitanzania wananini chakujivunia?

    Big up. Nimepitia links zako, hakika umefanya kazi nzuri nikutie moyo. Kazi ulizozifanya hakika zinakuongezea sifa binafsi ila si kwa nchi. Hakuna kipya ambacho outside wata ki appreciate ndo tatizo, umefanya maintanance na modification works ambazo hazina attention kubwa kwa outside...
  8. 1

    JamiiForums Tanzania Developer wakitanzania wananini chakujivunia?

    Katika pitapita zangu sijaona, App ya kitanzania angalau yenye 1m downloads. Watu hawana new idea au tatizo ni nini? Dev wengi wanafanya basic websites na kufungua development agency. Kama kuna mifano yawaliotengeneza App inayotutambulisha Tanzania outside tujuzane angalau tujue mifano...
Back
Top Bottom