Recent content by 1juma2

  1. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    YAH: WARAKA WA KUWASILISHA CHANGAMOTO NA OMBI LA MAPITIO YA Mheshimiwa Rais. Kwa heshima na taadhima, Umoja wa Wawakilishi wa Wanafunzi (Ma-CRs) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kwa niaba ya wanafunzi tunaowawakilisha kutoka programu, madarasa na vitengo mbalimbali vya Chuo, tunawasilisha...
  2. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Private au gavo
  3. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Good morning UDSoL family hope wote ni wazima na tumeamka salama. ⚖️⚖️ Naomba nitoe ufafanuzi kwenye suala la ongezeko la Direct Cost na msimamo wetu kama UDSoL. Binafsi taarifa ya ongezeko hilo tumeiona jana kama ambavyo kila mmoja wetu ameona kwenye makundi mbalimbali ya whatsapp na social...
  4. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Kuna kijana anasoma kwa kutegemea boom tu, hana sapoti ya familia. BOOM NI LAKI 6. DIRECT COST 255 K HOSTEL 150 Bado hajala uyu mtu , hajapata bando, hajapata nauli, hajavaa, hana ela ya field anatunzaga boom kidogo kidogo. WAKUFUNZI WAKIANZA KUPIGWAA ROBA📌
  5. 1

    JamiiForums Tanzania “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo

    “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓 Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo. Ni mzigo unaoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kuendelea na masomo. UDSM, tunaomba msikilize sauti ya wanafunzi. 🙏🏽 Tunaiomba UDSM: • Itoe...
  6. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Simple sana
  7. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Asee😅😅😅shujaaa mkimya
  8. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Private au serekali
  9. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Kwa ubora gani wa Kitambulisho cha 15 k Ili kupunguza gharama ..hivi kweli pale UDSM ukitangaza tenda hamna vijana wanaweza kutengeneza ID za bei nafuu. Nini kimependisha gharama za ID ni mafuta au material zake zimepanda?
  10. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Ilikuwa 97400 jumlaa
  11. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Viongozi hawana taarifa pia
  12. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Hali ni mbaya nyie hamjui tu. Imagine kabla ya ongezeko la bei, kuna wanafunzi walikua wanapata ID siku ya mtihani asubuhi, hapo ni baada ya kuchangiwa na wenzao, leo inapanda kwa kiasi hiki...unahisi maisha yatakuwaje?
  13. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    ELIMU NI HAKI YA MSINGI sana kwa vijana wa Tanzania, serikali inapoendelea kuweka juhudi ya kupambana na ujinga ifahamu kuwa moja ya sababu ya vijana kukosa elimu bora ni gharama kubwa ya elimu. Ongezeko hili la "direct cost" ni pigo kubwa sana kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam...
  14. 1

    JamiiForums Tanzania KERO Msaada: Tuliotoka Diploma kwenda Degree tukiomba mkopo tunakutana na "No Applications Found" kwenye mfumo

    You know, sisi binadamu mara nyingi hatuna shukrani hata kidogo. Kwa kidogo tunachopata, hatujawahi kushukuru wala kupongeza. Hivi unajua kwamba tarehe ya mwisho ya maombi ilikuwa 31 Agosti? Hizo siku 14 zilizoongezwa zilikuwa ni favor—yaani nafasi ya ziada ambayo mtu hakuwa na uhakika wa...
Back
Top Bottom