Recent content by 1Booker

  1. 1Booker

    JamiiForums Tanzania Seneta Cherargei wa Kenya amuomba Rais Samia asaidie kuwatia adabu wakenya wasio na nidhamu, ataka washitakiwe na wafungwe

    Babako akukufunza bila shaka nae ni mbumbumbu
  2. 1Booker

    JamiiForums Tanzania Ni Hofu na Si Uzalendo

    Wew ndy zombie,, umaskin unaongelewa Hapa ni wa taifa Kwa ujumla na sio umaskin wako binafsi Na jua sababu kwanz zinazoleta umaskin nchin ndy uje utoe hoja ya mashiko
  3. 1Booker

    JamiiForums Tanzania Ni Hofu na Si Uzalendo

    Jamii ipewe elimu Sana Hawa ni wanyonyaji
  4. 1Booker

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    Ambulance awadandii Kwa mbele huyo n chawa kbc
  5. 1Booker

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    Toka zako uko nyie ndy chawa wenyewe
  6. 1Booker

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    Kupata Zero Form Four Ni Curse kbc kwake inamtafuna Maisha yake yote
  7. 1Booker

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    Absolutely he's genius ameshow love
  8. 1Booker

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    eddy Gicheru Oketch One love popote Alipo tuna mengi ya kujifunza kwao,, kwetu wanatutumia watu wasiojulikana
  9. 1Booker

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Nahisi wew utakua na majibu Sahihi Nan hua anawatekaga Eti,,!!?
  10. 1Booker

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kweli tunamengi ya kusema lkn achanen na Habari za watu wasiojulikana
  11. 1Booker

    JamiiForums Tanzania Ni Hofu na Si Uzalendo

    Maendeleo hayana chama Na Chama Hakina Maendeleo,, Uko ndy kuupiga mwingi,,
  12. 1Booker

    JamiiForums Tanzania Ni Hofu na Si Uzalendo

    Majeshi yanayolinda Amani ndy yanayotimika kuvunja Amani pia,, Watumwa, mpaka kubaka ref tukio l Binti yule kule dodom,, wale ndy walinda Amani
  13. 1Booker

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa kweli: Kati ya majigambo na lawama

    Everyday Nasema kua Tanzania imepewa kila kitu mungu akujalie Zaidi umejaa Busara,,, Barikiwa Sana ,
  14. 1Booker

    JamiiForums Tanzania Ni Hofu na Si Uzalendo

    Huzuni yangu ni kuona Taifa lenye kila Haina ya utajiri na Vipaji vya aina yake likiwa Maskini Daima,, Sina shaka kua uhai ni Zaidi ya chochote lkn kua hai na kupitia mateso ni Bora kua Katika nyumba yako ya milele Sote ni njia Yetu Kila Nafsi itaonja Mauti,, Watu wanaishi Maisha ya Hofu na...
  15. 1Booker

    JamiiForums Tanzania Seneta Cherargei wa Kenya amuomba Rais Samia asaidie kuwatia adabu wakenya wasio na nidhamu, ataka washitakiwe na wafungwe

    Hitimisho nchi hii imepewa kila Hain ya utajiri na vipaji na Viongoz wajinga daima sote tusem Ameen
Back
Top Bottom