Ni Hofu na Si Uzalendo

Ni Hofu na Si Uzalendo

1Booker

Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
20
Reaction score
11
Huzuni yangu ni kuona Taifa lenye kila Haina ya utajiri na Vipaji vya aina yake likiwa Maskini Daima,,
Sina shaka kua uhai ni Zaidi ya chochote lkn kua hai na kupitia mateso ni Bora kua Katika nyumba yako ya milele Sote ni njia Yetu Kila Nafsi itaonja Mauti,,

Watu wanaishi Maisha ya Hofu na kujificha Katika kivuli Cha Uzalendo kuepuka kifo na utekaji
Watu wasiojulikana Ni wauaji

Namba Moja Wanatumika na watu wanaojulikana
Aibu kwao wamejaa uovu miyoni
Mwao

Vizazi ninateseka Kwa njaa, elimu duni,magonjwa tele
Mabinti wakijiuza kila uchao

Vijana wakipotez Maisha na kupata ulemavu kwsbb ya pikipiki
Wao wanakazi ya kugonga viti na meza wakisubiri posho
Ujinga wa Hadhira ni kukubali kua wao ni duni

Wanachagua Hata wasiowataka
Maisha Yao yamejaaa Mashaka
Ngojera za beat mwingi ni za wengi na wengiwao ni wezi
Kaa mbali hawanaga jema daima
Angalizo: Linda Sana Moyo wako kuliko chochot maana ndiko zitokapo chemchemi za uzima
 
Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mwisho wa kunukuu....
Maendeleo hayana chama
Na Chama Hakina Maendeleo,,
Uko ndy kuupiga mwingi,,
 
Huzuni yangu ni kuona Taifa lenye kila Haina ya utajiri na Vipaji vya aina yake likiwa Maskini Daima,,
Sina shaka kua uhai ni Zaidi ya chochote lkn kua hai na kupitia mateso ni Bora kua Katika nyumba yako ya milele Sote ni njia Yetu Kila Nafsi itaonja Mauti,,

Watu wanaishi Maisha ya Hofu na kujificha Katika kivuli Cha Uzalendo kuepuka kifo na utekaji
Watu wasiojulikana Ni wauaji

Namba Moja Wanatumika na watu wanaojulikana
Aibu kwao wamejaa uovu miyoni
Mwao

Vizazi ninateseka Kwa njaa, elimu duni,magonjwa tele
Mabinti wakijiuza kila uchao

Vijana wakipotez Maisha na kupata ulemavu kwsbb ya pikipiki
Wao wanakazi ya kugonga viti na meza wakisubiri posho
Ujinga wa Hadhira ni kukubali kua wao ni duni

Wanachagua Hata wasiowataka
Maisha Yao yamejaaa Mashaka
Ngojera za beat mwingi ni za wengi na wengiwao ni wezi
Kaa mbali hawanaga jema daima
Angalizo: Linda Sana Moyo wako kuliko chochot maana ndiko zitokapo chemchemi za uzima
Mara zote viongozi waporaji na wanyonyaji wanawageuza wananchi kuwa wafungwa wao... Watafanya kila wawezalo Ili tu wananchi wasiwe huru kifikra!
SSH anakwambia kokote ambako wananchi wanahoji na kuwabana viongozi wao kushaharibika!
 
Jamii ipewe elimu Sana
Hawa ni wanyonyaji
 
Maendeleo hayana chama
Na Chama Hakina Maendeleo,,
Uko ndy kuupiga mwingi,,
Tatizo kazungukwa na watu wanaofanya mambo mengine ambayo hawajatumwa wanajifanya wanamsaida kumbe wanamchafua....
 
Naamini mda umefika wa kupewa msaada wa kifikra kutoka Kenye ili tujielewe sisi ni kina nani?
 
Huzuni yangu ni kuona Taifa lenye kila Haina ya utajiri na Vipaji vya aina yake likiwa Maskini Daima,,
Sina shaka kua uhai ni Zaidi ya chochote lkn kua hai na kupitia mateso ni Bora kua Katika nyumba yako ya milele Sote ni njia Yetu Kila Nafsi itaonja Mauti,,

Watu wanaishi Maisha ya Hofu na kujificha Katika kivuli Cha Uzalendo kuepuka kifo na utekaji
Watu wasiojulikana Ni wauaji

Namba Moja Wanatumika na watu wanaojulikana
Aibu kwao wamejaa uovu miyoni
Mwao

Vizazi ninateseka Kwa njaa, elimu duni,magonjwa tele
Mabinti wakijiuza kila uchao

Vijana wakipotez Maisha na kupata ulemavu kwsbb ya pikipiki
Wao wanakazi ya kugonga viti na meza wakisubiri posho
Ujinga wa Hadhira ni kukubali kua wao ni duni

Wanachagua Hata wasiowataka
Maisha Yao yamejaaa Mashaka
Ngojera za beat mwingi ni za wengi na wengiwao ni wezi
Kaa mbali hawanaga jema daima
Angalizo: Linda Sana Moyo wako kuliko chochot maana ndiko zitokapo chemchemi za uzima
We zombie Tanzania siyo maskini we ndio maskini, kapambane na maisha siyo kuja kulialia huku na porojo za kipumbavu hazitakusaidia chochote.
 
Wew ndy zombie,, umaskin unaongelewa Hapa ni wa taifa Kwa ujumla na sio umaskin wako binafsi
Na jua sababu kwanz zinazoleta umaskin nchin ndy uje utoe hoja ya mashiko
 
Back
Top Bottom