Kama huwezi kunisaidia kwa nini usipite kimya tu kuliko kuniongezea stress wakati tayari ninazo za kutosha[emoji17] [emoji17] [emoji17] daah binadam tuna kazi jamani
Uaminifu ninao wapendwa ila kwa atakae penda kunisaidia kweli naomba anione pm nimpatie namba maana kuianika hapa sio vizuri sana.
Nikipata elf 5 tu nitashukuru angalau leo na mimi nile hata ugali na dagaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.