Recent content by 12APOSTLES

  1. 1

    Huu mjadala wa kususia bidhaa na huduma ni hatari kwa uchumi wa nchi

    Huko Twitter kwenye space unapatikana? Kama hupatikani lazima utaona makware kware na madoa DOA humu.
  2. 1

    Musoma: TANESCO Walipeni waliofiwa na ndugu yao kwa uzembe wenu

    Mnamo mwaka 1949 alizaliwa DEBORA MCHELE NEKE. Ndugu na Watoto aliowazaa walifurahi kuwa na Kipenzi MAMA yao. Tarehe 8 March 2018 ilikuwa siku ya huzuni na machonzi sana. DEBORA MCHELE NEKE Alikufa kifo cha kulazimishwa kwa uzembe wa TANESCO. Uhai wa mama huyo ulikatishwa kwa waya wa umeme...
Back
Top Bottom