Recent content by 1.3m to 40bln

  1. 1

    JamiiForums Nataka kuwekeza MIFUKO YA JAMII

    Nikiwa kama mwanafunzi nayetaka kuzikimbia adha za ajira mapema nataka kuanza kudunduliza kwenye mifuko ya jamii mapema kidogo nilichonacho. Funds kama LAPF, NSSF,PSPF na other bila kusahau UTT na issue za vipande. Nahitaj ushaur kuhusu schemes zao, returns na security level za hisa asanteni..
  2. 1

    JamiiForums PSPF na mradi wa nyumba

    Kuna habari kuhusu mfuko wa PSPF kuja na project ya kukopesha nyumba kwa gharama nafuu. Things needed n kuwa member kwa mwaka usiozid mmoja..na mchango wa 10000@month.. Is this issue confidental??!!!..
  3. 1

    JamiiForums Kupenda 'happy ending' na madhara yake

    Kama kijana ambaye still natafuta angle ya kuwa fulani kesho..still naona tatizo la vijana wengi, Kupenda historia nzuri za mafanikio za most succesful pepoz na to build their dream on them..bila kutaka kujua kuwa kabla ya mashua kufika pwani dhoruba ngapi ilikwepa #mabadiliko ni wewe
Back
Top Bottom