Recent content by 0788725283

  1. 0788725283

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Kuna wimbo wa safsri ya wana wa Israel kabla ya huu na wimbo unapoanza ikishapigwa biti wakianza kuimba tu inaanza hivi Safaaaari yawana wa israeli Waliiiipo ondoka kule misri Wakaianza safari iliyokuwa ngumu wakaivuka bahari, bahari ile ya sham, wakaipita milima, milima...
  2. 0788725283

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuupata wimbo huu wa zamani (zilipendwa)

    Nisaidieni namna ya kupata nyimbo za Mob house nafikili ni funk ni miaka natafta lakini sijafanikiwa
  3. 0788725283

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Ok. Nimekupata mkuu na ule wa safari ya wana wa israel nahisi uliimbwa na kkkt makongolosi chunya nilishawahi kuisikiliza mika hiyo kwenye zile kanda za zamani lakin kwa karne hii nautafta siupati. Pia katika album hiyo hiyo kuna wimbo unasema " NI NANI ANAEFANANA NA YESU". na pia kuna mwingine...
  4. 0788725283

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Nisaidieni namna ya kupata Audio ya wimbo wa Paulo na sila waliomba. Nimetafta miaka sipati
  5. 0788725283

    JamiiForums Tanzania Wale wana sheria naomba msaada jinsi ya kukokotoa mafao

    Ni Kweli ila shukran sana ndugu umenifundisha kitu ambacho sikukijua ubarikiwe
  6. 0788725283

    JamiiForums Tanzania Wale wana sheria naomba msaada jinsi ya kukokotoa mafao

    Nafanya kazi ya Butler ni hivi napokea mgeni/wageni tangu wameingia hotelin mpaka siku wanaondoka mda wote niko nao napumzika pale tu wanapokuwa wameenda game drive kwa mda wa masaa 4 na hapo inategemeana kama waharudi hotelin kwa ajili ya lunch siwez pumzika . Kifupi ni kwamba nafanya kazi...
  7. 0788725283

    JamiiForums Tanzania Wale wana sheria naomba msaada jinsi ya kukokotoa mafao

    Thanks kaka Bora uhai kwa kunifumbua macho ila kuna staff mwenzangu aliacha akafanyiwa hivi cjui ilikuwa sahihi au la 300000÷30=10000÷8hrs=1250×1.5×12hrs×12 months=180000. Alafu siku za sikukuu kampigia hivi 1250×2×8hrs×14days per year=280000 je ni sahihi? Hivyo ndivyo naona watu wakiacha kazi...
  8. 0788725283

    JamiiForums Tanzania Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Thanks kaka naomba msaada wako pia kwa hili. Kazin kwetu tumeambiwa kwa njia ya sim kuwa tutatumiwa form ya kusain ili kuchukua rikizo ya miezi mitatu isiyokuwa na malipo je ni haki kisheria?. Na kingine jinsi ya kukokotoa holidays endapo unahitaji kuacha kazi saraly 300 kwa mwezi
  9. 0788725283

    JamiiForums Tanzania Wale wana sheria naomba msaada jinsi ya kukokotoa mafao

    Mimi nafanya kazi hotel za kitalii porini Serengeti nahitaji kuacha kazi ili kujiajiri mwenyewe ila sijui jinsi ya kukokotoa masaa ya ziada; annual leave na siku za holiday saraly ni mia 300 kwa mwezi na nina miaka 2 na miezi 6. Nina annual leave 23.
Back
Top Bottom