Mimi ni kijana ninasoma ngazi ya diploma mwaka wa kwanza katika chuo cha ualimu tabora nachukua CHEMISTRY and BIOLOGY. Nilitafuta shule nikafundisha nikapata hela kidogo ya kuanzia muhura wa kwanza wa masomo. Mwezi wa tatu tulifunga chuo mwezi mmoja nikaenda nyumbani kutafuta ada . Saizi...
Name: Jackson M mabagala
Reg NS0710
Coarse : DS SCIENCE
Subject : chemistry and biology
My account number :51010031208
Account ya chuo : 5101100072 The principal tabora teachers college
Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha ualimu Tabora mwaka wa kwanza ila nimekosa ada laki tatu. Nilikuwa nadaiwa laki tano ila nimeangaika mtaani nikapata laki mbili. Nisaidieni jamani maana hali mbaya hapa chuoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.