Recent content by 0657008427

  1. 0657008427

    Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Sijaona hata sehemu moja ambako wameweza kusali vizuri ikiwa nchi Ina migogoro watu wanapigana vita, hata bikira maria mama Wa Mungu hutokea Mara kwa Mara duniani kote akiasa Amani je naye anachanganya dini na siasa Huyu askofu kakua sana mawazo yake yanapingana siku hizi hayupo competent...
  2. 0657008427

    I have a dream,a dream to form a very strong political party.

    I have a dream" This is the good idea, but we need to think more, to make clear the presence parties, it is better to strength the existing political parties There is no need to create a new political part in Tz
  3. 0657008427

    Fatma Karume Kumrithi Tundu Lissu?

    Tunamuombe Sana Karume maana ndiye mwanaharakati pekee ambaye yupo hapo kama mtetezi Wa haki za wananchi wanyonge, najua shida IPO sana lakini naamini kule ni wasomi na wenye akili wote, sio Wa kuhongwa pesa ni watu Wa maamuzi naipenda sana hii sehemu maana mdipo haki ilipo
  4. 0657008427

    Tanzia: Mwanafunzi wa UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati wa Tendo pendwa

    Duh pole yake jamaa kafia kazini akiwa anamsaidia muumba kufanya kazi yake Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi
  5. 0657008427

    John Shibuda aiandikia barua Kamati Kuu CHADEMA kuomba kukoma Uanachama

    Huna jipya utakufa na dhambi zako matakoni Komwa nzoka ebe
  6. 0657008427

    Yaliyojiri Bungeni - Julai 04, 2015: Spika aamrisha wabunge wa Upinzani kutolewa Bungeni

    Maisha ya bongo yanazidi kuwa ya shida kama mswada huu utapitishwa serikali ijayo itakuwa kwenye wakati mgumu sana kwani itakuwa Na mikataba mingi ndo maana wamelazimisha huu mswaada usomwe kama dharura najua hali iliyoko tz na bunge limetetwa na watu wenye hila nahisi Tuombe mungu tujaaliwe...
  7. 0657008427

    Je, Ni kweli uume usiotahiriwa ni 'mtamu' zaidi panapo '6 kwa 6'?

    Yapaswa kujua kila alichoumbiwa mwanadamu kina maana yake ila tu wanadamu kwa kujiona wana akili wameamua kujibadili ndo maana unaona leo wanabadilisha hadi maumbile,ndoa jinsia moja,wanawake wa kiafrika kuvaa nywele ndefu,kubadilisha rangi na mengine mengi kwa hiyo hata kutahiri ni matokeo tu...
Back
Top Bottom