Sijaona hata sehemu moja ambako wameweza kusali vizuri ikiwa nchi Ina migogoro watu wanapigana vita, hata bikira maria mama Wa Mungu hutokea Mara kwa Mara duniani kote akiasa Amani je naye anachanganya dini na siasa
Huyu askofu kakua sana mawazo yake yanapingana siku hizi hayupo competent...
I have a dream"
This is the good idea, but we need to think more, to make clear the presence parties, it is better to strength the existing political parties
There is no need to create a new political part in Tz
Tunamuombe Sana
Karume maana ndiye mwanaharakati pekee ambaye yupo hapo kama mtetezi Wa haki za wananchi wanyonge, najua shida IPO sana lakini naamini kule ni wasomi na wenye akili wote, sio Wa kuhongwa pesa ni watu Wa maamuzi naipenda sana hii sehemu maana mdipo haki ilipo
Maisha ya bongo yanazidi kuwa ya shida kama mswada huu utapitishwa serikali ijayo itakuwa kwenye wakati mgumu sana kwani itakuwa
Na mikataba mingi ndo maana wamelazimisha huu mswaada usomwe kama dharura najua hali iliyoko tz na bunge limetetwa na watu wenye hila nahisi Tuombe mungu tujaaliwe...
Yapaswa kujua kila alichoumbiwa mwanadamu kina maana yake ila tu wanadamu kwa kujiona wana akili wameamua kujibadili ndo maana unaona leo wanabadilisha hadi maumbile,ndoa jinsia moja,wanawake wa kiafrika kuvaa nywele ndefu,kubadilisha rangi na mengine mengi kwa hiyo hata kutahiri ni matokeo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.