Recent content by 0.5nic

  1. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Mkuu Kwa jinsi Mungu alivyo Mtakatifu, akichunguza maisha yako (na yangu) atatukuta na dhambi nyingi tu, kwa kifupi hatutakuwa tofauti na hao 'waarabu' unaowataja. Na kwa kuwahukumu hao, unapalia makaa kichwani pako mwenyewe. Lakini ikiwa humkumbushi Mungu kuhusu makosa yako mwenyewe, mbona...
  2. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Mkuu Maswali uliyouliza ndiyo hasa ninachokueleza tangu mwanzo, zifahamu sifa zingine za Mungu na utajua kwa nini vitu hivyo hutokea. Mungu hatendi jambo ati kwa sababu tu anaweza kulitenda. Hata wewe unaweza mambo mengi tu ambayo huyatendi,... Nimeeleza zaidi hapo #41
  3. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Mkuu Nimeeleza hapo juu kwa nini nimeandika hivyo, ili kurahisisha kunielewa kwenye baadhi ya hoja nitakazotoa. Si kusudi la uzi huu kuthibitisha hilo. Tujikite na kusudi la uzi huu.
  4. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Mkuu Nashukuru kwa somo, japokuwa naona umerudia tu nilichoandika kwenye post namba #36 kwa maneno tofauti. Sasa umeanza kuuliza maswali yenye maana, na tunaweza kufikia hitimisho vizuri. Tunapouliza maswali ya 'Kwa Nini' Mungu amefanya hivi ama vile na si hivi ama vile, tunajaribu kujua Nia...
  5. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Mkuu Jibu la hili swali ni rahisi, jiulize kwa jamii za watu ambao manabii/mitume walitumwa kutoka miongoni mwao Je, wote waliwaamini? Inaonekana kwamba watu hawaamini kwa sababu anayeongea wanamfahamu. Badala yake kuna msemo maarufu kwamba 'Nabii hakubaliki kwao' Kuamini ni uamuzi wa kukubali...
  6. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Mkuu Mimi si mtaalamu wa Kemia, lakini kwa kumbukumbu yangu muunganiko huo hutokea Oksijeni na Hydrogen zikiwa katika haki ya gesi na maji yanakuwa kimiminika. Japokuwa inawezekana kuvibadilisha kuwa gesi, kimiminika ama yabisi. Mungu si muovu. Na hata ile kuruhusu uovu kuwepo ilhali anaweza...
  7. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Mkuu Kiranga Nafikiri ninaona makosa matatu kwa maelezo yako hapo juu. Kwanza, unataka kutuaminisha kwamba kila mchanganyiko wa vitu hubakiza tabia za vitu vilivyochanganywa kama vilipokuwa havijachanganywa. Yaani, kwa sababu umetutolea mfano wa pepsi, maji na mkojo unalazimisha ziwe mfano...
  8. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Mkuu Nitaepuka kunywa kwa sababu mkojo ni kitu kibaya, huwezi kunywa. Na hasa ni kwa sababu 'mchanganyiko' haujaondoa ubaya wa mkojo.
  9. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Mkuu Sifahamu unachokimaanisha, lakini uamuzi sahihi kwangu kwa mazingira kama hayo ni kutokunywa.
  10. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Mkuu Maana ya ulichokiandika hapa ni sawa na kusema kwa sababu mtoto amepigwa na wenzie shuleni, basi itakuwa ni kwa sababu hana baba. Lakini inawezekana akawa na baba, ila hajaenda nae shule. Ile kwamba inaonekana Mungu hajaingilia kati mambo fulani katika ulimwengu huu, haimaanishi moja kwa...
  11. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Mkuu Kuna sifa tatu za Mungu (Upendo, Uwezo na Ujuzi) ambazo zinatumiwa na baadhi ya watu kwamba zinajipinga/zinapingana na uhalisia wa ulimwengu huu. Ninachomaanisha ni kwamba Mungu ana sifa nyingi zaidi ya hizo, ambazo ni muhimu tunapojaribu kuelezea jambo lolote katika ulimwengu huu.
  12. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Mkuu Utumwa unajumuishwa kwenye mambo mengine mengi kwa jina moja 'Ubaya'. Halafu wengi wanaopinga uwepo wa Mungu wanasema kwa sababu kuna 'ubaya', basi aidha Mungu Naam, nimeielewa hapo.
  13. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Heshima kwako mkuu Nafikiri naielewa kwa sehemu, kiasi cha kutosha kuelewa mtu anamaanisha nini akiwa anaitumia.
  14. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Heshima kwako mkuu Sitajaribu kujibu hili, lipo nje ya kusudi la uzi huu.
  15. 0

    Mungu hana sifa tatu, tu!

    Heshima kwako mkuu Nimeandika ili kufanya watu wafahamu mtazamo wangu wa kiimani, inaweza kusaidia kujua ninachokimaanisha katika baadhi ya mijadala nitakayochangia. Lakini sijatoa ushahidi wowote kuthibitisha hilo, na pia kwamba isiwe msingi wa majadiliano yetu kwenye huu uzi. Hii itasaidia...
Back
Top Bottom