Kama unahitaji ramani bora za nyumba ,iwe ni nyumba ya kawaida au ghorofa kwa bei rafiki kabisa ambayo itapunguza gharama za ujenzi.
Kama unahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu namna ya kupata...
:Tunatengeneza photocopy machine za aina zote kwa gharama nafuu kabisa
:Tunatengeneza printer za aina zote
:Tunauza photocopy machine pamoja na printer
:Tunafanya installation kwenye mashine...
Xbox 360 inauzwa kwa 300,000/=
Ikiwa na games zifuatazo;-
1. Assassing creed rogue
2. Battlefield 4
3. Resident evil
4.Blur 5. Call of duty ghosts
6. Fifa 19
7. GTA 5
8. GTA san adreas
9. Call of...
Natafuta mteja wa kumuuliza Xbox One, nipo Arusha . Ina memory ya 500gb pia ina inakuja na pads zake mbili na games tatu. Bei ni 550,000 ila inapungua kdg.
Kwa maelezo zaidi njoo PM.
Bila shaka mu wazima.
Ninahamishia kambi Makambako Njombe, ningeomba kujua jwa wenyeji wapi naweza pata chumba cha kupanga kwa gharama nafuu, maeneo ya mjini mjini, pasiwe mbali sana kutoka town...
Pata viwanja vikubwa vilivyopimwa Dodoma
Eneo: Miyuji Proper
Ukubwa: Kuanzia Sqm 1700 mpaka 2100
Bei: Milion 14
Umbali: Km 1 kutoka Chuo cha Mipango
Malipo: Miezi 6
Wahi Sasa ofa hii kabambe...
Nyumba ina vyumba vinne vikubwa pamoja na master bed rum, sitting room kubwa pamoja na dinning ipo sinza katikat ya vatcan hotel na lion hotel. Ukubwa kiwanja 40×40
Bei 200m maongezi yapo...
Wakuu kama heading inavyoeleza, haina haja ya kubaki na kamba wakati ng'ombe kachinjwa
Used moderm
Inasoma line zote
Bei Tzs 30,000/=
Brand HUAWEI
Popote nakuletea kwa Dar es salaam.
#reposted
Full Bakery Set/ (For Sale All);
Light Industry.
Oven 3
Mixer 3
Slicer 1
Tray za mikate
Jiko kubwa la Maandazi
Proover
Trays
Shelf la aluminium
Troley la aluminium
&Other small...
E/other Category Driver Available in Dar es Salaam Immediately. Heavy duty machinery, Buses, Trailers, Trucks, 4WD V8, cars driver is available for work to start immediately.
Seeking work with a...
Any business needs to be exposed inorder to be recognized by potential customers. Bizyciti business directory gives you a chance to present your business to the world, it has very best features...
Habari ndugu zangu naitwa peter jonas,nimemaliza chuo cha ualimu,astashahada elimu msingi....natafuta kazi yoyote ya kufanya
Namba zangu ni 0623572845...nipo morogoro
Sent using Jamii Forums...
Ina vyumba vitano ndani na vitatu nje. Ina eneo kubwa sana kwa nje gari inafika hadi mlangoni.
bei mil 45 maongezi yapo
0678096545
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni mnisaidie maana nisije ibiwa,
Mimi na rafk yangu nilisomaga naye shule ya msingi ila yeye yupo mombasa kwa sasa hivi yeye na familia yake, huwa tunachat ila siyo sana. Juzi kati...
Do you want to start any of the following 60 businesses?
Maize Milling - 71 pgs
Real Estate Agency - 42 pgs
Petrol Station (Independent) - 47pgs
Motorcycle Spare Parts Retail -33pgs
Imaging...