Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nina uhitaji wa laptop. Najua madenti wa chuo mpo juu ya mawe. Hebu njoo na offer zenu tufanye biashara. Please give brand and features of your laptop.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Karibuni wote Nauza vitenge sh 27000 tu pande tatu kwa kitenge kimoja napatikana Dodoma Nkuhungu karibuni ni kutokea Congo na Nigeria Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Mkurumuzi Tanga Urefu 27m Upana 22m Malipo kwa awamu yanapokelewa kwa makubaliano maalum kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna zoezi la urasimishaji viwanha ili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
* Nyumba ipo nyuma ya sheli ya Lusana dakika 3 kufika hapo * Vyumba Vitatu, kimoja kina choo ndani(MASTER) * Sebule * Jiko *Tiles, slide window) Umeme upo Maji kuchota kisimani (Kisima kipo 30...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je wahitaji mkopo kwa ajili ya shule yako kama; -Kuboresha majengo -Vifaa kama dawati -Usafiri -mafunzo ya walimu n.k ......Njoo ketu Opportunity Tanzania Ltd kwa aliye Iringa na upate mkopo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
VIWANJA GOBA MUUNGANO •Location: Viwanja vipo Goba Muungano •Direction: Kilomita 6 Kutoka Goba Stendi •Ukubwa: 400 Sqm Bei: Tsh 10 Milioni •Ukubwa: 800 Sqm Bei: Tsh 20 Milioni •Ukubwa : 600...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mwenye Router mojawapo kati ya hizi PM tufanye biashara Location: DSM Sio lazima ziwe mpya. [emoji120][emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
669 Views
FIXED YOUR MOBILE & COMPUTER HERE [emoji736]Softwares installations & Updates [emoji736]Display Replacement (lcd) [emoji736]Battery Replacement [emoji736]Network issues [emoji736]Water Damage...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
-Used for 2 month. -Haina tatizo lolote la kiufundi utaruhusiwa kutest. -Utapewa contact na kila kitu ikikuharibikia unarudisha,hatukuuzii kijanja barabarani,simu ipo dukani. Na kuna Samsung S10...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nasaga soya mbegu kuwa soya mafuta bei maelewano.Kama unahitaji kusagiwa lakini kama unahitaji iliyotayali inapatikana bei kilo 1 @1,500/=tu.locatio (mbagala chamazi) karibuni. kwa mawasiliano...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari? Kwa wale wapenzi wa kusoma riwaya mbalimbali za marehemu Mtobwa, tunapenda kuwajulisha kuwa vitabu hivyo vinapatikana Arusha na Dar es salaam. Vitabu hivyo ni kama ifuatavyo; Malaika wa...
4 Reactions
29 Replies
6K Views
Samsung galaxy note 4 inauzwa clean condition haina tatizo lolote nipo DSM 0675990776
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Lina futi 5×5.ni jipya kabis halijawahi tumika.lina wiring ya umeme tayari. Nicheki 0714906767 kwa maelezo zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Infared thermometers kwa wenye maduka,malls,mashule,viwandani,majumbani nk kupima mtu joto la mwili bila kumkaribia zinapatikana kwa bei ya shilingi laki 3 tu. Sanitizer 100ml bei elfu 10 500ml...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa bei ya 1.RAM DDR3L kuanzia GB 4 kwenda juu 2.CORE i3,i5, na i7 Ahsanteni.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu WanaJamii wenzangu, Mimi naitwa Hamza naishi Zanzibar. Shinda yangu kubwa ni kujua vifungashio vya mtindi vinapatikana wapi. Naomba anifahamishe s Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Nauza CPU yangu ya HP, HHD 250, RAM 2, Ina tatizo la Power Supply, Bei ni 130,000/=. 0786737923, Nipo Bagamoyo. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Kama nilivyoeleza hapo macho yangu yanauma ninapokuwa nafanya kazi zangu ambazo zinanilazimu kuwa kwenye PC kwa muda mwingi sasa nahitaji kujua kwa hapa Bukoba wapi naweza ipata Sent using Jamii...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Habari wakuu, Tunabadili matumizi ya ofisi na kuuza vifaa vya ofisi vifuatavyo 1. Meza mbili za plastic - zote 140,000 (@ 70,000) 2.Viti 3 vya plastic -vyote -30,000 3.laptop ya hp - 300,000...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari JF! Nataka kufanya finish kwny nyumba yangu kutokana na hali ya hewa iivyo ss nimeona bora niweke PVc gutter hivyo nahitaji kujua vifaa vinavyohitajika na gharama yake kwa bati yenye urefu...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…