Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Eneo kubwa na zuri linauzwa pamoja na nyumba yake. Lina ukubwa wa MITA 70 kwa 21. Ndani ya eneo kuna nyumba yenye vyumba vinne,viwili ni master na vingine ni vya kawaida,sebule kubwa pia na...
3 Reactions
3 Replies
681 Views
Habari JamiiForums members. Nyumba inauzwa na benki kwa njia ya mnada. -- Nyumba ipo Mbezi, Msingwa --Nyumba ina kiwanja chenye ukubwa wa 520sq/m-- Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja master...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Ipo Kibada KISARAWE ll kigamboni Ina vyumba vitano vitatu masters Sitting room dining room jiko stoo Na public toilet bei milioni 200 Mzungumzo pia yapo ukubwa wa kiwanja SQM 883 ina hati miliki...
2 Reactions
4 Replies
625 Views
Nyumba ya ghorofa moja Inauzwa milioni 300 maongezi yapo Ipo bunju B - Dar es salaam Vyumba Vinne vya Kulala vyote ni self contained ▫Sitting room zipo mbili chini na juu ▫Dining room ◇...
0 Reactions
4 Replies
929 Views
Nyumba inauzwa Kibaha kwa Mfipa(upande wa chuo) Vyumba vitatu(master zipo 2) Seble na jiko+choo cha public ndani Eneo ni 23×33 Umeme upo, maji yapo Km 2 toka moro road Ndo inafanyiwa finishing Ipo...
0 Reactions
3 Replies
663 Views
NYUMBA HAIJAISHA INAUZWA Eneo ukubwa : 448 SQM Jiko Two bedroom ( one master) Dinning Open kitchen Public toilet Location: Madale mbopo Bei : 20,000,000 Negotiable 1.5km from madale road (...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, kama kichwa cha habari kinavyojieleza... •Nyumba ipo Muriet Mashariki, mita 200 kutoka barabara ya East Africa • Nyumba ina vyumba kumi, (single room) na ukubwa wa eneo ya nyumba ni...
0 Reactions
4 Replies
887 Views
Nyumba ipo Tanga Mjini Mitaa ya kisosora *Room 4 (Kimoja master) *Sebule *Jiko *Public Toilet *Umeme✅ *Maji✅ Bei 65 milioni mazungumzo yapo...Kwa mteja Serious piga simu 0683703076 au whatsapp...
0 Reactions
87 Replies
6K Views
Nyumba ipo mtaa wa kangaye kata ya nyakatNYUMBA INAUZWA IPO MTAA WA KANGAYE-NYAKATO-MWANZAo-mwanza ipo karibu na shule ya secondary KANGAYE, ina vyumba 3 na sebule, Ndani Kuna lipu na Bomba za...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Ninauza nyumba ipo Mwanza maduka 9, maji na umeme vipo, nyumba ipo jirani na barabara kuu ya maduka 9 kiloleli. Bei naanzia 16 Milioni, maongezi kidogo yapo. Simu 0717072172.
2 Reactions
4 Replies
986 Views
Nyumba inauzwa Magomeni Makuti A, Mtaa wa msikiti Mdogo Documents: Mirathi Skwata Meter 120 main road, tandale road. Bei 125milioni (mazungumzo yapo) Nipigie +255712347749 +255765755455
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Ndio ipo Kigogo Mburahati, bei ni milioni 110 tu. Nyumba inatazama barabara ya lami inayoenda chuo cha NIT Mabibo kutokea Madoto.
0 Reactions
3 Replies
628 Views
Mwandege wilaya ya Mkuranga. Mkoa wa Pwani, Mwandege. Nyumba ina vyumba vitano na sitting room. Ina choo cha kudumu/shimo. Nyumba ipo kwenye lenta bado kupaua tu. Ipo kwenye Barabara ya...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Nyumba ya Vyumba vitatu, jiko, sitting room, chumba kimoja master. Eneo kubwaa linatosha kuzungusha fensi, dakika 5 main road ya kilwa road. Mwandege iko mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga, unaanza...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ipo kibaha visiga,nyumba ya kisasa, Vyumba viwili,kimoja master,sebule ,dinning,jiko, Uwanja mkubwa squire meter 800 Ina fensi ya kisasa. Umeme na maji vipo, Umbali km moja kutoka morogoro road...
6 Reactions
90 Replies
9K Views
Boma linauzwa, limefikia hatua ya kufunga lanter, lina vyumba 3 vya kulala ambapo viwili ni self, kimoja ni cha kawaida, sitting, dining, jiko pamoja na public toilet. Limejengwa ndani ya eneo...
0 Reactions
7 Replies
809 Views
Muundo wake Vyumba vitatu vya kulala kmoja n master bedroom seble jiko dining stoo na choo na bafu (CommonToilet) Huduma zote maji umeme barabara vpo site mtaa mzurii uliojengeka kisasa sanaa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa Mwandege Magengeni barabara ya Kilwa road, wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Ina vyumba vinne sitting room chumba kimoja master, jiko, kisima cha maji, stoo ndani full tank. Uani...
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Nyumba inauzwa Mbezi Kibamba ina vyumba vitatu kimoja master, ina stoo, jiko, dinning room, sittng room, public toilet, full fency maji ya DAWASCO dakika 3 main road bei milioni 70...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Back
Top Bottom