Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

JIKO la GESI Pleti mbili WESTPOINT PRICE: 95000 Location DSM Karibu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Mkurumuzi Kange Tanga Urefu 27m Upana 22m Exchange inafanyika kwa gari ndogo au bajaj viwe katika hali nzuri. kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna zoezi la...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Hizi slippers zinauzwa 10,000 pale Miniso. Mimi nauza bei hiyo hiyo 10,000 lakini nitakufanyia delivery. Ni nzuri sana zenye muonekano classic. Ukinunua hii sleeper toka kwangu utasaidia watu...
0 Reactions
2 Replies
588 Views
Habari zenu,tafadhali mwenye kujua mahali naweza kupata pikipiki hizi za kuchaji na bei zake pia
0 Reactions
11 Replies
16K Views
Realme estate ni kampuni Ya kizalendo inayotao huduma za ujenzi Kwa gharama nafuu kabisa inayotumia mafundi wenye weledi na walio bobea Katika maswala Ya ujenzi Wa Nyumba za Aina zote Tanzania...
15 Reactions
831 Replies
170K Views
KWA WALIO KOSA SELECTION FORM FIVE. Soma hapaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Usipate stress kwa waliokosa nafasi kujiunga kidato cha tano na wanao itaji kurudia mitiani kidato cha NNE, SiTA, na QT shule ya HELP...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baadhi ya watu wamekuwa wakifanya OBD2 diagnosis kwenye magari. Ni kitu kizuri na kwa upande fulani kinaweza kurahisisha kutatua tatizo la gari husika hasa ukizingatia kwamba tatizo moja la gari...
9 Reactions
25 Replies
7K Views
Nauza Redmi Note 7 Blue. Brand New and straight From Xiaomi Global ROM (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage) ROM ni 64GB RAM 6 GB 6.3'' inch display Snapdragon 660...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za jpili wapendwa naomba kupata kufahamu kuhusu kuingia nchini za wageni kutafuta maisha kwa kupata njia raisi na kama una ndugu yako njeee ya inch mfano marekani anafanya vipi kukupatia...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Wakuu habarini? Poleni na majukumu. Kwa mzazi au mlezi aliye na mtoto mwenye uhitaji wa kusoma masomo ya science mwalim nipo. Eneo ni Ubungo Riverside. Pia kwa wale private candidates na QT...
1 Reactions
0 Replies
543 Views
BEI 2,050,000 inapungua kdg kaibu mawasiliano 0715140001
0 Reactions
2 Replies
47K Views
Tunapokea gari za aina zote . Gharama za dereva na mafuta ni juu yetu . Sio lazima utukodishe gari lako kwa siku zote mfululizo, ila kama utaweza itakuwa fahari yetu. . Tunapatikana Sinza . Call...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Habari Wadau wa Jamii Forum, Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu. Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto...
3 Reactions
35 Replies
8K Views
*HP Elitebook 8470p, NoteBook Laptop 3rd Gen.* IPO SOKONI KWA BEI CHEE SANA...SAWA NA BURE... [emoji676][emoji676][emoji676][emoji676][emoji676][emoji676][emoji676] [emoji839]Kioo tu kwanza ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Natatafuta gari ya kuendesha Uber kama tittle inavyosema. Nimeshafanya kujiandikisha Uber . Tafadhali kwa yoyote anayehitaji driver ,Niko hapa. Thanks
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa Ina 1.Vyumba vinne kimoja master 2.Public toilet 2 3.dinning room 4.Sitting room 5.Open kitchen 6.front and rear verandah 7.Car parking shade 8.Eneo la hekari moja ndani ya fensi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Pata Premium Netflix acount kwa bei ya karanga Ni Ultra HD acount Ina uwezo wa kushare na ndugu na majaa na marafiki Ni Tsh 3000/= tu kwa mwezi Utalipia baada ya kupata acount yako Nicheck whtspp...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Friji kubwa inauzwa,imetumika miezi 4 tu. Bei 650000/= Location Dodoma. Picha hizi apo chini #0624052205
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Ilianza kazi tarehe moja mwezi wa tatu, ikafanya kazi miezi 2 dereva akazingua, so imepaki toka mwezi wa 5 , mwenyewe hataki tena biashara ya bajaji πŸ“ž 0758851175, 0713220021
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari wakulungwa, nahitaji IST namba C. Iwe nzima Iwe na documents zote Hela mfuko wa shati Iwe Dar 0755963775 WhatsApp only
1 Reactions
5 Replies
944 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…