Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu, Nauza chumba cha biashara (hakijakamilika) Eneo la Morombo sokoni. Bei 6.5 M Mawasiliano 0768734611. Whatsapp 0786817145.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, kama kuna mtu anahama hivi karibuni maeneo ya Makumbusho, Ubungo, Kijitonyama na maeneo ya karibu naomba anicheki. Kama kodi imebaki miezi kadhaa tutamlipa.
0 Reactions
2 Replies
642 Views
TOYOTA HARRIER OLD MODEL (DMS) Manufacture Year: 2001 Engine Capacity Cc: 2150cc Mileage: 115,000km+ Fuel: Petrol Standard features: Transmission: AUTOMATIC Asking For: 14.5M For more details...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Baada ya mavuno ni matumizi, naombeni msaada nina bajeti ya sh 250,000, naweza kupata godoro gani imara na la kudumu 5*6 inchi 8 ambalo haliweki shimo ukilalia na mtoto maana sitaki aibu, si...
1 Reactions
23 Replies
15K Views
Hii ni nyumba ya kuishi na familia, inauzwa ipo Mapinga-Bagamoyo Road kwa bei ya Tsh. 18,000,000 (Milioni 18) lakini majadiliano yanaruhusiwa. Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo Masta...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari, Je unataman kumilik ardhi na hujui utaipata wap?Karib kwetu tukusaidie update ardhi nzuri kwa bei nafuu kabisa tunauza Viwanja na Mashamba, VIWANJA vipo KIGAMBONI -kimbiji Golani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibu Rems-africa consultancy kwa ushauri na usaidizi kwenye sekta ya fedha, bima na teknolojia ya habari. Tunapatikana posta ya zamani, Dar es salaam mtaa wa mkwepu, jengo la posta. Au...
0 Reactions
0 Replies
510 Views
MILIKI kiwanda chako kwa kununua mashine kutoka mtandao unaomjali mteja Tunaendesha karakana mbili vingunguti na kusukulu pia tuna mawakala nje ya nchi Kwa machine ambazo hatuzalishi hapa...
4 Reactions
94 Replies
17K Views
Habari wakuu. Nahitaji stendi 2 za spika. Mwenye nazo tuwasiliane. Namba 0755 831576.
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 2921 (zaidi ya nusu eka) kinauzwa. Kiwanja kipo Kibaga- Kinyerez karibu na Songas-Kinyerezi Plant. Kiwanja kinafaa kwa shughuli za biashara, Makazi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarin waheshimiwa, Nauza boxer bm 150 km inavyoonekana kwenye picha sababu aina matatzo sana labda indicator na saintmirror pia na ila ni kuwasha na kuondoka ina kadi yake original kabisa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wazee natafuta sehemu nzuri ya kufungua Car wash hapa Dar. Mwenye wazo/eneo zuri tafadhali.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau, natafuta fundi mzuri sana wa kiwango kwa ajili ya kupiga plasta. Site iko Kigamboni, Dar es Salaam. Please, weka namba hapa Asanteni.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu salama Naitaji Tshet zile ambazo zinakuwa picha ya mhusika, Mfano inaweza kuwa ni picha yangu au picha ya anything I want So mtu yoyote anaehusika na mambo ya tishert printing anidm
0 Reactions
5 Replies
821 Views
Habari ya wakati huu wakuu, ninahitaji zile office cabinet ambazo wengine huzitumia kwa kuhifadhia nyaraka muhimu kwa isalama. Naomba nielekezwe duka lilipo au mawasiliano ya ofisi husika. Pia...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Habari za muda huu wakuu, Ningependa kujua wapi naweza pata maduka yanayouza vifaa vya maabara mkoani Dar es Salaam. Ninahitaji soil testing kit. Asante.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
TOYOTA IST Make : Toyota Model : Premio Manufacture Year: 2004 Engine Capacity Cc: 1790cc Mileage : 82,000kms Fuel: Petrol Full AC Asking For: 9.8M For more details kindly Text or Call +255...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SOLD OUT
0 Reactions
9 Replies
930 Views
Wakuu habarini. Naomba kufahamu chimbo wanalouza earphones za samsung na nyinginezo kwa bei ya jumla 1000-2000 na chaji pia kwa bei ya jumla tu.kama unauza au una connection naomba funguka.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
IN GOOD CONDITION used for 1 MONTH [emoji830]RAM 1 GB [emoji830]INTERNAL STORAGE 8 GB [emoji830]NETWORK 3G [emoji830]Android version 8.0.1 [emoji830]5 inch screen Inapatikana Dar,, kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…