Naomba kujua maduka ya vifaa vya maabara yanapopatikana

Rasputin

JF-Expert Member
Mar 13, 2018
557
682
Habari za muda huu wakuu,
Ningependa kujua wapi naweza pata maduka yanayouza vifaa vya maabara mkoani Dar es Salaam. Ninahitaji soil testing kit.

Asante.
 
Back
Top Bottom