Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa...
Call/WhatsApp 0788622610
Brand New popsicle machine
Ina tray 2 (40 popsicles each)
Inazalisha pisi 80 kwa dk20
Inauwezo wa kuzalisha zaid ya piece 5000 kwa siku
Bei:3,300,000 only
Ukinunua...
Nauza Note 4 mbichiiiii kabisa kwa bei poa 150000 tu (fixed) simu imenyooka na haina kipengele chochote. .....Camera yake iko saaafi clear 16MP
Nipigie 0676723888
Nauza nguo za kike na kiume aina zote. Tunauza tsherts, mikanda, wallets, mashati, gauni, suruali n.k
Waweza fika dukani k/koo mtaa wa manyema mkabala na jengo la ddc, uone ni jinsi gani...
Ukiachana na mambo ambayo watu wengi wanaangalia wanaponunua magari used ambapo mengine ni madogo. Kuna mambo ambayo huwa ni ya kiufundi zaidi ambayo huwa ni vizuri pia yakaangaliwa. Kwa watu...
Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama una eneo halina kazi naomba tukutane, ili tuone kama tunaweza kushirikiana tufuge nguruwe kama washirika mimi nina mtaji wewe eneo.
Eneo...
Habari?
Kama kuna mwenye kuhitaji gari la sherehe au kwa ajili kuwapeleka watoto na asubuhi wafanyakazi kuwatoa majumbani na kuwapeleka ofisini kama posta au Kariakoo.
Tuwasiliane kwa namba 0686...
Hallow wana jamvi nimewaletea mashine nyingine ya kuranda na kuchana mbao yenye uwezo mkubwa baada ya ile nyingine kununuliwa bei ni sh. 2,800,000 karibu tuwasiliane bei ni rahisi sana tofauti na...
Habari zenu wana JF.
Kwa heshima zote, nahitaji fundi atakaye nifundisha ufundi wa ujenzi, au kupaua au pia finishing na decoration....ambaye nitamlipa posho ya Maji kwa mwezi.
Natanguliza...