Nauza notes za Microsoft word nimeelezea Kila kitu kwa picha hatua kwa hatua, Ni nzuri kwa watu wote wanaotaka kujifunza na waliojifunza.
, Ufafanuzi Commands zote katika Lugha ya Kiswahili...
NYUMBA INAPANGISHWA
Mahali: Boko kwa mpemba
Namba ya vyumba: nyumba ina vyumba viwili (kimoja ni master bedroom), sebule, jiko ndani na nje, Choo cha jumuiya ndani na nje, stoo na mahali pa...
LG TV LED Inch 43
Hdmi port ziko 3
VGA ipo
USB ipo
AV ipo
HD kali sana
Ina vioo viwili
Bei: 450, 000 Mawasiliano:0744033555 Unakagua ndio unalipia
IPO UBUNGO RIVER SIDE DAR
Habari Jf.
Nimeamua kusimama na hii biashara ya kuuza pikipiki used.
Pikipiki zote ziko na document kamili. Unaweza fuatilia Police kwa kujiridhisha zaidi kuepuka usumbufu kwa baadae.
Kuna san...
Ili kuepuka madhara yawezayo kutokana na umeme kutokana na sababu za kutofanyiwa ukaguzi na marekebisho ni vyema kuweka utaratibu huo Kwa usalama wa mifumo yetu ya umeme.
Ambavyo vyanzo vya...
Habari wana HHM heshima kwenu
Moja kwa moja kwenye mada mwenye kufahamu upatikanaji wa Mafuta ya kupikia lita 20 Nchi gani naweza kuagiza kwa unafuu zaidi.
Nina pension ya kufanya hii bishara...
maisha yanabadilika sana, ubusy wa kazi na ukuaji wa miji unatufanya wakati mwingine tufanye kazi muda mrefu na kufika nyumbani muda ukiwa umeenda sana, lakini bado haipaswi kuwa excuse ya...
Mimi ni mtaalamu wa umeme na vifaa vyake(Electrical and Electronics)
Nimekua niki-design vifaa mbali mbali vya electronics kama vile kifaa cha kuongeza umeme maeneo yenye umeme mdogo.Wengi wenye...
Hizi ndio sehemu zangu bora nilizokula chipsi nikaenjoy kwa mwaka huu 2020.
1. American chips-- kinondoni
2. Kwa mpemba-- k/nyama
3. sele bonge : Morocco
Haya leo tutajiane sehemu zingine bora...
Nauza tecno spark 2 ROM gb 16 RAM 1 kwa sh 160000 tu nimeitumia miez michache ipo vizuri kila kitu na imenyooka haina kipengele chochote nipo Mwenge Dar 0672904720
Karibu jipatie high sound quality speaker aina ya W-KING kwa bei nzuri
.
Zipo mbili tu, wahi mapema
PRICE: 230,000
CONTACTS: 0744277050
LOCATION: DAR (KINONDONI)
Habari ya muda huu wakuu..,
Poleni na majukumu ya Kila siku, bila kuwachosha nimekuja Kuna canter tan 3 inauzwa Bei ni sh. 16,500,000/- iko katika hali nzuri kabisa na sio ya udalali ipo nyumbani...
Habari wakuu,
Nahitaji kupanda mlima Kilimanjaro mwezi wa 11 mwaka huu, kama kuna mtu anaweza kuniunganisha na tour company/mountain climbing company ambayo ina gharama nafuu nitashukuru sana...