Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Samahani wakuu, ningependa kuuliza kwa wazoefu na watumiaji wa SKRILL. Ningependa kujua uki withdraw hela kutoka kwenye account yako ya skrill kuja kwenye account ya bank, huwa inachukua muda...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Hello good people. Natafuta single room nzuri, ikiwa na choo itapendeza zaidi..isipokua na choo pia sio issue... Room iwe maeneo ya Banana. Tuwasiliane!
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Kwa utafiti wangu mdogo nimeona watanzania tunapigwa na wauza mabati ya ALAF kwa kuaminishwa kua yako special sana kuliko mabati mengine. Haya mabati tunapigwa, hayana ubora wa kipekee kuliko...
9 Reactions
99 Replies
30K Views
Kuna eneo liko Geita lina dhahabu... Pia wapo wachimbaji wadogo wadogo pembezoni mwake...lina dhahabu za kutosha ndo maana mwenye eneo akaamua kutafuta mwekezaji ili likachimbwe kitaalamu..eneo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tunauza udongo au kifusi kwa Bei poa kwani tunachimba eneo la underground parking, Tutakusafirishia mpaka site kwako Tupo Arusha mjini Note: hatuuzi udongo au kifusi mhitaji anachangia usafiri tu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Machine ya kuvyatua tofali za kuchoma inauzwa,Bei TZS 8000000 complete.Ina uwezo wa kuvyatua tofali 12,000 hadi 15,000 ndani ya masaa 8.Ipo Morogoro Mjini. Inavyofanya kazi check hapo :Tupigie...
1 Reactions
0 Replies
942 Views
DIGITAL STATIONARY 1. KUCHAPA (typing), KWA LUGHA ZA (Kiswahili,Kiingereza,Kijerumani,Kifaransa,Kichina,Hindi,Kihispania na Kiarabu) (i). Barua (ii) Curriculum vitae (CV) (iii) Vitabu...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Habari wakuu! Nauza gari yangu mwenyewe, Make: TOYOTA, Model: IST, Year: 2005, Transition: Automatic, Engine CC: 1290, Engine type: VVT-i, Milleage: 81,900KM. Sport Rims, New Tires zimefungwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Fremu Inapangishwa Mbezi Beach Interchick kituoni ukubwa wa 32 sqm kodi yake 350,000 kwa mwezi. Mawasiliano 0784336063
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza bajaji no CAF TVs nyeus haina tatizo IPO MBAGALA BEI 2,600,000 MAZUNGUMZO YAPO MAWASILIANO 0684-501087 zymiwa@hotmail.com
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Shalom, habarini za kutwa, nina interest ya kununua shamba maeneo ya kuanzia Kibaha kwenda hadi karibu na Mlandizi hapo katikati, kuanzia heka moja hadi tatu. Isiwe karibu sana na lami, mwenye...
2 Reactions
7 Replies
45K Views
Free delivery Dar CBD 0788282409 Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Brand New MacBook pro (15.4 inch) Core i7 @ 2.2ghz Ram 4Gb installed @(1333 Mhz DDR3) Intel graphics 3000(384 catch) HDD 500GB @1.5M available mbeya & Dar 0768540772
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kinapangishwa barabarani eneo la buyuni kuelekea Chanika ukubwa wa sqm 1300 bei 400,000 kwa mwezi. Mawasiliano 0784336063
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Jipatie mashine ya ice-cream au koni Kwa bei poa kabisa.pia utapatiwa mafunzo jinsi ya kutengeneza koni bure utapewa na mixer yake bure. Bei ni 2m , Mazungumzo yapo kidogo. Tuwasiliane Kwa namba...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kwa mwenye uhitaji wa kujifunza accounting package kwa kuanzia tataanza na Tally kisha Quickbooks. Muhimu uwe na vitu vifuatavyo 1. Computer - Desktop/Laptop/Pad/Smartphone 2. Speaker - Kifaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari ipo,imepata ajali kidogo engine 1g, vioo viwili upande wa kushoto vimevunjika..tair zote mpyaa..batry mpya. Haina dalali..nichek kama utakua interested..0683 141402. Bei 2.5mil,maongezi...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Vituko haviishi vituo vya kazi siku hizi! Katika moja ya shule ya sekondary wilaya ya Uyui mkoani Tabora kumetokea sintofahamu baada ya mkuu wa shule kumtaka kimapenzi mke wa mwalimu wake wa...
0 Reactions
8 Replies
856 Views
Computer za aina zote zinaptkana HP, Dell, Accer, lenovo Tupo karume hapa, mawasiliano zaidi 0714894219
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Ninawasalimieni. Ninatafuta nyumba ya kupanga Dodoma Mjini, sifa ni hizi zifuatazo: 1. Bajeti 250,000/= mpaka 300,000/= 2. Muda wa kulipa ni miezi mitatu au chini yake. 3. Mahali-:Area A, Area...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…