Habarini wapendwa. Nauza mapazia yangu ambayo kimsingi siyahitaji tena. Kuna piece 8 jumla. Pisi 4 zipo complete ina combination ya rangi tofauti nauza elfu 35, pisi 3 zipo rangi nyekundu tupu...
Offer ya kuanzia mwaka
Set nzima ya kupambia cake kwa bei ya 125,000 tu
Inakuja na vitu vingi sana vya kisasa
Ina nozzle piece 48, turnable table, visu vya kupambia, mifuko, slicer na vitu vengine...
Model: Toyota IST
Cc: 1490
Year: 2005
Full ac
Location: Kinondoni (Dar)
Price: 6,000,000
Contact: 0717599884
Gari ni nimeitumia mwenyewe, kwa atakayevutiwa karibu tuzungumze
Habari nyumba hii inauzwa ipo barabarani kabisa Goba million 58 tu karibu ujionee tupigie 0763542515
Ina vyumba vitatu na sebule umeme na maji vipo pia ina by quarter kwa nje kama una vijana...
Imetumika miezi 4 tu milango miwili ina friza juu ubaridi mkali na friji kwa chini ina nafasi kubwa na pia 0712046405 lipo Dar es salaam kigamboni pia kuna masofa yanauzwa NAHAMA KIKAZI.
Niende kwenye point moja kwa moja kama heading inavyoeleza.
Tutafute tukusafishie shamba, kiwanja ikiwa ni kuchimba visiki vilivyopo kwenye shamba au eneo lako.
Pia tunapuliza dawa za kuua...
Wajasiriamali House tumekuwa kwa zaidi ya miaka 10. tukiwasaidia Watanzania walio na mitaji isiyozidi laki 5 ,mbinu za kuanzisha au kuboresha bidhaa zao sambamba na mbinu za mauzo ya bidhaa zao...
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.
Mfano ---- Sehemu chombo...
HIYO HAPO PIKIPIKI TOYO TOLEO LA KWANZA KABISA...
BADO MBICHI KABISA...ILIKUWA YATUMIKA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI...YAWEZA PIA KUWA BODABODA...
NI NGUMU ASIKWAMBIE MTU...NISHASEMA NI TOLEO YA...
Nyumba ya kisasa ina vyumba vinne master jiko, siting room, dining umeme na maji ipo bararani njia ya kwenda kiwanda cha plastiki Vikindu madafu ina eneo kubwa limebaki unaweza kupiga simu namba...
Kwa wakazi wa Arusha mchele msafi na ulionyooka kutoka kahama Shinyanga grade namba mbili unapatikana kwa jumla ni 1600 kuanzia kilo 10 kwa wale wenye sherehe za harusi, ubarikio, birthday party...
Jamani Kuna bidhaa hizi tamu kwa wale nadhifu na wanaotaka kuwa nadhifu pia...
Bei poa na Ni latest design..[emoji1476]
NB;Sina duka jamani Ila mkoa wowote tunatuma
Hizi SWETA original , Ni pure...
Mwenye anataka baiskeli nzuri kabisaa mountain bike gear 9( nyuma6 na mbele3)
Ipo clean Kama Inavyoonekana .
Ipo Dar es salaam.
Bei 150,000/ RISITI YAKE IPO (iliagizwa toka Zanzibar)
Mwenye...
Habari wadau, nahitaji Toyota IST yenye namba D yoyote ile hata iwe DAA iliyopo Dar. Budget yangu ni Milion 6.5 TU!! Hiyo ndiyo hela iliyopo ni vema likazingatiwa. Kama unalo hilo gari nicheki...
Viwanja vipo Mtaa wa Kulangwa, Kata ya Goba, Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam.
Ni karibu na Madale Mwisho.
Viwanja vinne vipo km 2 kutoka Madale Stendi, na kimoja kipo karibu na Stendi ya Goba...
Simu tajwa hapo inauzwa ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote.
128 GB storage
6GB RAM
Triple camera
Bei 550k
Exchange inaruhusiwa kutegemeana na simu.
0621632813