Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba ina vyumba 2 kimoja ni masta, pamoja na sebule, jiko, choo cha wageni. ~ Nyumba ipo karibu na barabara, dakika tano kwa mguu hadi kituoni. Ina eneo la kuegesha gari, huduma ya maji dawasa...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Naomba msaada wapi nitapata Camcorder na accessories kwa ajili ya Live streaming.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Napatikana mbezi beach africana Tuwasiliane wasap 0742537423 Kitanda 6x6 250k Godoro 6x6 230k QFL Kabati. 300k Friji 300k Aborder smart Tv 300k Redio 220k Showcase 300k Kochi 450k Meza 100k...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Wakuu habari poleni na majukumu Moja kwa moja kwenye uzi ama jukumu la hii post Ifuatayo ni samsungA30 inauzwa, iko clean na haina tatizo lolote Specs ni kama ifuatavo: 64 gb storage 4gb Ram...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Amani kwenu wana Jamvi Rejea the heading above Niende direct kwenye mada mie nahitaji Business Plan na Memorandum Articles of Association ya Kampuni. Kwa maelezo zaidi tukutane PM N.B Uwe ni...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Habari wakuu, Katika harakati za kutafuta maisha nimeamua kufanya biashara ya kupika na kuuza mikate. Kama mnavofahamu Mifuko imepigwa marufuku ,hivyo ili kufunga mikate inatakiwa ile Mifuko...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wandugu, Nauza makochi yaliyotumika (3-seater na 2-seater) ya ngozi nyeusi. Bei laki 4 elfu 50. Makochi yanayo mito ya ziada ya chini ambayo nimeyahifadhi. Yanapatikana Mbweni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Tumeleta mzigo wa pochi za kina dada nzuri. Tunauza kwa bei ya jumla na reja reja Bei yetu ya jumla ni sh. 13,000/=✓ kuanzia PC tano tu na rejareja sh. 15,000/= Tunapatikana...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mawasiliano yangu ni 0718151415. Bei milioni moja na laki mbili maongezi yapo. Karibuni sana
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Contempo.(hiden roof) ni mtindo mpya wa ujenzi wa nyumba Tanzania lakini wengi wanaishia kupata hasara kwasababu wanajenga bila kua na michoro ya kitaalamu hivyo zinaishia kuvuja. Ili ujenge...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Kazi; kutafuta wateja na kutangaza tiba ya meno , haswa mtandaoni. Sehemu ya kazi: Korogwe Tanga Mshahara: 200000/= , na commission za mauzo ya kila siku Elimu: awe na elimu ya chuo kikuu ...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jipatie Time attendance device kama kihakiki cha mahudhurio ya wafanyakazi kiwandani, ofisini mahotelini nk, na hata mashileni. Rahisi kutumia. Ina back up Battery kama umeme umekatika, unaweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
fuata link hapachini,ili upate maelekezo bettingsystem.skynova.io
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Hahahah, kama kawaida ya binadamu kila anapopatwa na janga huwa anawaza namna ya kupata unafuu. Katika harakati zangu za kusaka unafuu nikakutana na chimbo la bando za Aitel za chuo zenye gharama...
14 Reactions
38 Replies
10K Views
Toyota HARRIER [D.J.M] Year : 2006 Capacity : 2360cc Mileage : 89,000kms Price : 17.5M Location: Mbezi Beach Call : 0717436363 Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
54 Replies
8K Views
Kiwanja kinahitajika maeneo ya kigamboni kibada. Bajeti 4M Kiwe maeneo hayo ya kibada Simu 0716411720
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mixer zinauzwa Used Kutoka Ufaransa Hazijatumika Tanzania. Bei Milioni Tatu Na Laki Sits (3,600,000) moja Zipo Mbili kwa Sasa.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nauza mahindi KWA sh 55,000 (gunia) Debe la mahindi utapata KWA 8500 Kila jumamosi mzigo unaingia wote mnakaribishwa. Bei ya debe la mahindi KWA Dsm ni kuanzia 10k. Ila ofa hii ipo KWA kipindi...
1 Reactions
0 Replies
855 Views
Naomba kuuliza zile conduit pipe rangi nyeupe, bei yake ikoje kwa Moshi?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hello jf Kwakuwa tunapaswa kuishi kwa kuendana na alama za nyakati basi kama wewe ni mmliki au mbeba maono ya taasisi fulani ( kanisa, msikiti, chama,kikundi, jumuiya) Ni wakati sasa uweke...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…