Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wadau wa JamiiForums, Salamu kutoka WLC. Tuliomba nafasi kwa uongozi tuje kutoa elimu kwenu kuhusiana na uagizaji wa bidhaa au huduma ndani na nje ya nchi. Tumekuja rasmi. Mzigo wako...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanajamvi. Kijana mwenze ninawaombeni kwa mwenye uhitaji wa fundi Skiming na Upakaji Rangi na upakaji wa material mbali mbali ya urembo kama vile, stone, Decoo, con mixer, pamba/...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Natafuta kiwanda cha chakula cha kuku DSM, pia nawezaje kuuza damu ya ngo'mbe iliyokaushwa?
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Kama uzi unavosomeka ninaomba mwenye uelewa au anajua sehem wanapotoa mafunzo ya mbwa,na kuuza anisaidie, ninamhitaji sana, kama yupo ani tafute tuyajenge. Nipo Dar, Kinondoni Bunju B. Karibu...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Wakuu.. Natafuta pikipiki iliyo ktk hali nzuri kabisa. -Iwe haijatumika zaidi ya mwaka na iwe namba C -Iwe TVS, BOXER ama nyingine yenye muundo huo... -Bei isizidi 1M - Location iwe Dar -Uwe...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoonesha. Ntasafiri kutoka Dar kwenda Mbeya siku ya ijumaa tarehe 7 Dec Ila hata akipatikana wa Njombe au Makambako bado si mbaya. Kama yupo naomba...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari Wakuu. Naandika kwa niaba ya rafiki yangu ambaye anatafuta usafiri "Private" kutoka kwa mdau yeyote anayetarajia kusafiri kutoka Dar kwenda Bukoba siku za hivi karibuni. Rafiki yangu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu habari. Kuna kiatu hapa jamaa anataka niuzia 95,000/= Je ni bei yake au napigwa. Napenda sana buti so nimekielewa.
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu. Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Original Wireless Earbuds TWS Deep bass and 3D Sound Active Noise Cancelation Touch Control Long life battery Charging time 1.5 hrs Bluetooth Version 5.0 Designed for Comfort and Stability...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta Toyota Spacio New model (kibongo bongo) yenye cc 1490 na milage isiyozidi 100,000km. Iwe kwenye hali nzuri,sihitaji madalali, nafanya ya biashara na Owner. Kama unalo ni PM kwa business...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
PRICE UPDATED: 6,800,000 Model: Toyota HARRIER Lexus Registration Number: A.... Colour:Silver Engine: Petrol 2994cc VTI Year 1999 Seat Capacity 5 Music redio Full AC Full documents (File) Clean...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Kiwanja chenye nyumba na frem za maduka kinauzwa Igoma Jijini Mwanza Details Size: hatua 60 kwa 40 (hatua za miguu za mtu mzima) Huduma zote za kijamii zipo wakuu wangu. Eneo lilishaendelea...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Machine ya kuchanganya zege naiuza, crosca engine ina 10hp, inachanganya mifuko miwili ya cement. Bei 6,000,000TSH, negotiable. contact 0713737362 au 0679851483
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, Nataka kutengenezewa kadi za kuomba mchango wa harusi. Je, ni wapi naweza kupata kwa bei rahisi? Nipo Dar
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Wana jamii kutokana na tatizo la ajira nimeamua kuwa mjasiliamali,kiofisi changu kiko hapo Giraffe hotel mbezi beach,tunafungua kuanzia saa 11 za jioni,karibuni mniunge mkono,tutaweza tu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa yyt mwenye hilo side cover la upande wa gearliver naomba tuwasiliane nipo arusha kwa Whatsapp nnamba 0787803577.Nipo Arusha Natanguliza shukran kwenu
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Inaprint : Black & Colored, Copy: Black & Colored, Scan: Black & Colored. Inakidhi kwa matumizi ya Ofisini na Stationery. Ni yangu, haina dalali. Bei: 240,000/-, Mawasiliano: 0778 179 575
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu... Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani) Mita 200 kutoka barabara ya segerea -extenal kupitia jeshini Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master)...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…